Wengine baba zao wakiwa Marais tu kazi yao ni kuiba mali, kuuza ngada na kupora hovyo wake za watu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mtoto wa Rais Paul Kagame wa Rwanda, Luteni Ian Kagame amejiunga na kikosi cha ulinzi wa Rais kilicho chini ya Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF).

Kikosi cha ulinzi cha Rais wa Rwanda kinawajibika kumlinda Rais pamoja na familia yake.

Ian alionekana hadharani kwa mara ya kwanza akitimiza majukumu yake mpya wakati wa maombi ya kuliombea Taifa yaliyofanyika Jumapili iliyopita.

Maombi hayo ambayo hufanyika kila mwaka, yalihudhiriwa pia na Rais Kagame na viongozi wengine wa ngazi mbalimbali wa serikali ya Rwanda pamoja na viongozi wa dini.

Ian ni mhitimu wa chuo cha kijeshi cha Sandhurst cha nchini Uingereza.

Chanzo: tbc_online

Nyoka hazai Panzi hata Siku moja!!!!!!

Nimekuelewa Genta. Kongole kwa andiko
 
Jiwe gizani tiii, mara unasikia maweeeee!!!!
 
Picha?
 
Sandhurst mafunzo yao hatari sana

Wana kozi ya mpaka,namna ya kupindua nchi

Hivi kuna mtanzania aliyeepitia mafunzo kwenye hicho chuo cha kijeshi kweli!
Maana mtoto wa mu7 naye amepitia hapo pia
Nkirudi,kwenye uzi huu nmecheka sana,ehe watoto wa viongozi fulani wao ni kuuzaa ngd, na kupora wake za watu [emoji1]

Ov
 
Kaka samahani nikuulize kitu kama utapenda kunijibu????Una asili ya rwanda????Pili ushawahi kuishi rwanda kabla ya RPA na RPF kuchukua madaraka????Na una nasaba yoyote na makabila au jamii za rwanda na la mwisho unazijua siasa za rwanda kwa kuishi pale au kupitia vyanzo mbalimbali?????
 
Kaka samahani nikuulize kitu kama utapenda kunijibu ????Una asili ya rwanda????Pili ushawahi kuishi rwanda kabla ya RPA na RPF kuchukua madaraka????Na una nasaba yoyote na makabila au jamii za rwanda na la mwisho unazijua siasa za rwanda kwa kuishi pale au kupitia vyanzo mbalimbali?????
 
Mtoto wa Rais Paul Kagame wa Rwanda, Luteni Ian Kagame amejiunga na kikosi cha ulinzi wa Rais kilicho chini ya Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF).

Kikosi cha ulinzi cha Rais wa Rwanda kinawajibika kumlinda Rais pamoja na familia yake.

Ian alionekana hadharani kwa mara ya kwanza akitimiza majukumu yake mpya wakati wa maombi ya kuliombea Taifa yaliyofanyika Jumapili iliyopita.

Maombi hayo ambayo hufanyika kila mwaka, yalihudhiriwa pia na Rais Kagame na viongozi wengine wa ngazi mbalimbali wa serikali ya Rwanda pamoja na viongozi wa dini.

Ian ni mhitimu wa chuo cha kijeshi cha Sandhurst cha nchini Uingereza.

Chanzo: tbc_online

Nyoka hazai Panzi hata Siku moja!!!!!!

Afu kaka una chuki una chuki na Kidera au?????Maana vyote ulivyosema kavifanya wakati ule babake mkuu wa kaya shamba la bibi la urthi!!!!!
 
Sandhurst mafunzo yao hatari sana

Wana kozi ya mpaka,namna ya kupindua nchi

Hivi kuna mtanzania aliyeepitia mafunzo kwenye hicho chuo cha kijeshi kweli!
Maana mtoto wa mu7 naye amepitia hapo pia
Nkirudi,kwenye uzi huu nmecheka sana,ehe watoto wa viongozi fulani wao ni kuuzaa ngd, na kupora wake za watu [emoji1]

Ov
Wapo ila sio lazima wajitaje!!!!Ukienda Lugalo utapata orodha yao
 
Mtoto wa Rais Paul Kagame wa Rwanda, Luteni Ian Kagame amejiunga na kikosi cha ulinzi wa Rais kilicho chini ya Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF).

Kikosi cha ulinzi cha Rais wa Rwanda kinawajibika kumlinda Rais pamoja na familia yake.

Ian alionekana hadharani kwa mara ya kwanza akitimiza majukumu yake mpya wakati wa maombi ya kuliombea Taifa yaliyofanyika Jumapili iliyopita.

Maombi hayo ambayo hufanyika kila mwaka, yalihudhiriwa pia na Rais Kagame na viongozi wengine wa ngazi mbalimbali wa serikali ya Rwanda pamoja na viongozi wa dini.

Ian ni mhitimu wa chuo cha kijeshi cha Sandhurst cha nchini Uingereza.

Chanzo: tbc_online

Nyoka hazai Panzi hata Siku moja!!!!!!

Nenda pale lugalo ukaulize ila uwe na sababu za msingi🤣🤣🤣Ova
Namjua mmoja tu Lt kashmir enzi hizo lugalo ni collito barracks

Ova
 
Kaka samahani nikuulize kitu kama utapenda kunijibu????Una asili ya rwanda????Pili ushawahi kuishi rwanda kabla ya RPA na RPF kuchukua madaraka????Na una nasaba yoyote na makabila au jamii za rwanda na la mwisho unazijua siasa za rwanda kwa kuishi pale au kupitia vyanzo mbalimbali?????
Waambie Watu wa SSIT ( Makao Oysterbay mkabala na St. Peters ) waliokupa hii 'Assignment' dhidi yangu wakuongezee Maswali mengine kwani haya uliyoanza nayo ni ya Kitoto kama siyo ya Upuuzi na hutoweza kupata Majibu uyatakayo ili uandike vyema Ripoti yako na upandishwe Cheo na Mshahara wako nao Uongezeke sawa?
 
Mtoto wa Rais Paul Kagame wa Rwanda, Luteni Ian Kagame amejiunga na kikosi cha ulinzi wa Rais kilicho chini ya Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF).

Kikosi cha ulinzi cha Rais wa Rwanda kinawajibika kumlinda Rais pamoja na familia yake.

Ian alionekana hadharani kwa mara ya kwanza akitimiza majukumu yake mpya wakati wa maombi ya kuliombea Taifa yaliyofanyika Jumapili iliyopita.

Maombi hayo ambayo hufanyika kila mwaka, yalihudhiriwa pia na Rais Kagame na viongozi wengine wa ngazi mbalimbali wa serikali ya Rwanda pamoja na viongozi wa dini.

Ian ni mhitimu wa chuo cha kijeshi cha Sandhurst cha nchini Uingereza.

Chanzo: tbc_online

Nyoka hazai Panzi hata Siku moja!!!!!!

Sio maandalizi ya kumrithisha kiti
 
Unasifia mfumo wa kutengeneza family dynasty! Kweli hapo shingoni umebeba embe bolibo mtu akusaidie kulikata utue huo mzigo
 
Back
Top Bottom