Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Usiogope kaka hatukuvui uraia wewe mwenzetu kaka ila nimeona una mahaba sana Kagame ikabidi nikuulize unamjua vizuri afande PC kaka??Waambie Watu wa SSIT ( Makao Oysterbay mkabala na St. Peters ) waliokupa hii 'Assignment' dhidi yangu wakuongezee Maswali mengine kwani haya uliyoanza nayo ni ya Kitoto kama siyo ya Upuuzi na hutoweza kupata Majibu uyatakayo ili uandike vyema Ripoti yako na upandishwe Cheo na Mshahara wako nao Uongezeke sawa?