Wengine kama tumelaaniwa katika mahusiano ya Mapenzi!

Sijuhi na Tatizo Gani na Suala la mahusiano ya kimapenzi,maana nakumbana na changamoto kwa kiasi Kikubwa.Mwezi wa Saba tar 05 niliandika Uzi ukielezea Mkasa Wangu wa kimahusiano[emoji116]
Achana na wanawake ambao sio level zako
 
🤣🤣🤣🤣tafuta fani nyingine mkuu mapenzi utakuja jinyonga bure
 
Umenifilisi mkuu.
 
Umri wako upoje kaka?? Ni 18-25 au 25-30 au 30-35 au 35+?? Kama upo chini ya miaka 25 bado wewe mwenyewe huenda ni changamoto utoto mwingi ila kama upo juu ya 25 jiangalie tatizo hadi binti haeleweki nini shida?

Lakini pia wewe ukoje yaani kiuchumi na mwonekano kwa ujumla. Na hao mabinti unaokuwa nao wakoje pia?? Usikute umevamia msitu wenye matumizi makubwa kwa sikukumbe uwezo wako 5000.

Lakini tofauti ya umri wenu nayo iwe reasonable maana unaweza kutafuta wa miaka 17 huku wewe inasoma 30 lazima akusumbue maana utoto mwingi.

Mwisho ukiona demu yupo hewani ila hajibu sms wala hakujali acha kumtafuta hata wiki na akijileta mwambie siwezi kuwa na mapenzi bubu aendelee na safari zake. Mimi Mungu kanijalia hata nipende vipi ukizingua kukufuta kichwani faster.
 
Huu ni ukweli watu wengi hawaufahamu. Nikupe pole lakin pia nikuambie tu huu ni muda wa kujenga character yako. Be the best man.. the better man. Then the best woman atakuja.
Dont be sad for any bitch.. akijifanya busy. Ww futa namba kabisa.
 
Ilo nalo neno, kwahiyo hapa sipendwi nifanyeje??niachane nae Tu,maana wanawake ni wengi japo na mpenda ila nitapata mwingne!
Achana nae.utapata mwenye shida ya mume.
Mwanamke wa hivo hana shida nawe ndo maana hakuchukulii kwa uzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…