mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Ni kweliUkiwa na Pesa tiali unakua handsm,ila na ilo nalo linaweza kua Changamoto mojawapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweliUkiwa na Pesa tiali unakua handsm,ila na ilo nalo linaweza kua Changamoto mojawapo.
Achana na wanawake ambao sio level zakoSijuhi na Tatizo Gani na Suala la mahusiano ya kimapenzi,maana nakumbana na changamoto kwa kiasi Kikubwa.Mwezi wa Saba tar 05 niliandika Uzi ukielezea Mkasa Wangu wa kimahusiano[emoji116]
Sio handsome na huna hela unategemea nini
Atafute hela tu, uhandsome utakuja wenyewe[emoji23][emoji23] mpe mbwinu dogo
Umenifilisi mkuu.Kama unakumbuka zile concepts za statistics kidogo, apply non probability sampling ambayo mojawazo inaitwa multi-stage sampling. Tongoza wanawake 16 wa sehemu mbali mbali Tz na nje ya Tz.
Kila baada ya stage 1 ya mahusiano unawadondosha wachache, Hadi ubaki na wanne wenye sifa za kuwa mke. Alafu Hao wanne unawafanyia classical observation Hadi ubaki na mmoja.
Tafuta pesa sana izo mambo mademu wote wako ivyo hata kangu kalianza ivyo nikakitema.Siwezi kufikia stage hiyo,kujitoa Uhai kisa Mwanamke,fani nyngne ipi mkuu
Pesa inatakatisha na inabdilisha kila kituAtafute hela tu,uhandsome utakuja wenyewe
Huu ni ukweli watu wengi hawaufahamu. Nikupe pole lakin pia nikuambie tu huu ni muda wa kujenga character yako. Be the best man.. the better man. Then the best woman atakuja.Shida yangu ndo hiyo napenda kupitiliza,ndo maana napatwa na majanga na maumivu mwisho wa siku hapa ntajitahidi nirekebishe.
Kweli ulichosema upendo wake kwangu haupo Tena,icho kisingzio kwamba yupo busy hakina maana!Namimi nimeamua uyu nae nimpotezee,maana mwanaume kulalamika lalamika kwa mwanamke huo ni Uzembe
Achana nae.utapata mwenye shida ya mume.Ilo nalo neno, kwahiyo hapa sipendwi nifanyeje??niachane nae Tu,maana wanawake ni wengi japo na mpenda ila nitapata mwingne!