Wengine kama tumelaaniwa katika mahusiano ya Mapenzi!

Kwanza kijana mdogo kama wewe huna majukumu unakuwaje na demu mmoja?

Tulipokuwa kwenye foolish age kama yako lazima uwe na totoz walau 4 zenye TBS halafu wao ndio washindane kugombea namba ya ufirst lady.

Vijana wa sasa mnatuangusha kweli kweli, kimsingi kila mwanaume unapaswa kumiliki wanawake wanne tena hao ni kwa uchache ili kukidhi gape iliyopo, wanawake ni wengi sana kuliko wanaume.
 
Bro achana na Hawa wanao kukandamiza kuwa unashida sehemu .... Bro no body is parfect.... Haya unayo yapitia ni kawaida na ni Aina ya mapenzi ya Sasa ndio yalivyo.

Hapa kikubwa ni wewe kubadili akili yako na iendane na Aina ya mapenzi ya sasa.na utakua na amani ya moyo wako na hayo yote unayo yapitia utayaona ya kawaida Sana.
 
Shukrani Kaka
 
Yani mahusiano siku hizi yakitoboa miezi mitatu bila mabadiliko yoyote aiseeh hapo mnaishi lakin hv hv


Tutaendelea kuishiaga kweny introduction tu
 
Ambao hatujasoma kozi za hovyo hatukuelewi
 
Kaka kweli unateswa sahz ndo umeandika uzi huu pole mkuu ila hauko peke yako wenzio tunaachwa kwa kejeri na dharau na bado atukomi usikate tamaa mzee wa kazi kaza sasa hv kua na chupi tofauti tofauti utarudi na mrejesho mpya.
Unamwambia mwenzio asikate tamaa kwenye ujinga..??
 
Idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…