Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Mbaya zaidi kugegeda hajui.Sio handsome na huna hela unategemea nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbaya zaidi kugegeda hajui.Sio handsome na huna hela unategemea nini.
Aisee!Mbaya zaidi kugegeda hajui,
Kwanza kijana mdogo kama wewe huna majukumu unakuwaje na demu mmoja?Sijuhi na Tatizo Gani na Suala la mahusiano ya kimapenzi,maana nakumbana na changamoto kwa kiasi Kikubwa.Mwezi wa Saba tar 05 niliandika Uzi ukielezea Mkasa Wangu wa kimahusiano[emoji116]
Afanye biashara ipi nyingine ?Achana na wanawake, Title ya uzi yako ni jibu tosha.
Huwa sijaribiwiMh itabidi nijaribu kwako kama hutojali
We pambana na hali yakoBhasi itabidi iwe kweli sio kujaribu
Shukrani KakaBro achana na Hawa wanao kukandamiza kuwa unashida sehemu .... Bro no body is parfect.... Haya unayo yapitia ni kawaida na ni Aina ya mapenzi ya Sasa ndio yalivyo.
Hapa kikubwa ni wewe kubadili akili yako na iendane na Aina ya mapenzi ya sasa.na utakua na amani ya moyo wako na hayo yote unayo yapitia utayaona ya kawaida Sana
Ambao hatujasoma kozi za hovyo hatukuelewiKama unakumbuka zile concepts za statistics kidogo, apply non probability sampling ambayo mojawazo inaitwa multi-stage sampling. Tongoza wanawake 16 wa sehemu mbali mbali Tz na nje ya Tz.
Kila baada ya stage 1 ya mahusiano unawadondosha wachache, Hadi ubaki na wanne wenye sifa za kuwa mke. Alafu Hao wanne unawafanyia classical observation Hadi ubaki na mmoja.
Unamwambia mwenzio asikate tamaa kwenye ujinga..??Kaka kweli unateswa sahz ndo umeandika uzi huu pole mkuu ila hauko peke yako wenzio tunaachwa kwa kejeri na dharau na bado atukomi usikate tamaa mzee wa kazi kaza sasa hv kua na chupi tofauti tofauti utarudi na mrejesho mpya.
IdiotSijuhi na Tatizo Gani na Suala la mahusiano ya kimapenzi,maana nakumbana na changamoto kwa kiasi Kikubwa.Mwezi wa Saba tar 05 niliandika Uzi ukielezea Mkasa Wangu wa kimahusiano[emoji116]
Apambo kwa kifupi ni kwamba sikua na mahusiano kwa mda wa miaka minne na ikafika Mda ikanibidi nianzishe mahusiano na Binti flani,lakini aliishia kuniacha.
Niliweza kupata Ushauri hapa jukwaani kupitia Uzi Wangu huo nilouweka apa,na kiujumla Yule binti niliamua kumpotezea.
Hivyo siku zilivozidi kwenda nikapata binti mwingine Tukaanzisha mahusiano,mwanzoni mwa mahusiano Yetu upendo Baina Yetu ulionekana kwa kiwango cha Uchumi wa kati.Nikasema Yule ameondoka amekuja mwingne kuniponya na kunipenda na kunipa faraja.
Lakini kwa uangalifu sikuweza kumpa moyo wangu kwa asilimia kubwa maana nilitoka kuteswa na mahusiano yaliyopita.
Katika kupita kwangu nikakutana na mstari unaosema mademu kibao kwa nini?mmoja akutie mawazo,apo nikikumbuka yule binti alivyonitesa kwa kuweza kuniacha gafla kwa kisingizio ameokoka na kamrudia Mungu hivyo atokua tena na Mimi.
Hivyo nikapata mahusiano tena na binti Mwingne,kwahiyo kiujumla nikawa na mahusiano na wawili ila Uyu wa pili atukufika Mbali maana dharau zilikua nyingi na kuniomba pesa kila kukicha,nikaamua kumpotezea.
Ila lengo la kuandika Uzi huu ni Uyu binti mwingne kiujumla takribani wiki Tatu kumekua na Mabadiliko kidogo si kama Mwanzo,unaweza Mtumia sms asijibu zikapita siku mbili,unampgia simu apokeh na akupi mrejesho kwamba alikua Busy ama raha.Na akijibu atakwambia nipo Busy,yan 24hours binadamu unakuaje busy kwmba ushiki simu,pia whatsapp anaweka picha za wanaume Dp anakua onln unatm jumbe lakini ajibu,Dalili za mvua ni mawingu,nami naona hizi ni dalili za kuachwa.
Hivyo nibora niachane na suala linaloitwa mapenzi kwa sasa nifanye mambo mengne ya msingi,maana sioni kama ni mtu mwenye Bahati katika mapenzi.
Unamwambia mwenzio asikate tamaa kwenye ujinga..??