Wengine mnawezaje?

Wengine mnawezaje?

Huwezi kumfurahisha mwanamke...we tafuta tu hela,wana chuma ulete kibaya sana.
 
Unajidanganya..demu hakuombi pesa alafu akupende?..hela ya saloon na hayo magauni unafikiri anatoa wap?...we achana nao hao pambana upate uchumi stable
 
Sijui kama unaamini uwepo wa Mungu au siijui imani yako lakini jibu la matatizo yako lipo hapa.

Kama utakuwa interested utazingatia fungua link soma
 
Sikiliza kwanza huu wimbo, Ukimaliza niambie nikushauri⬇️
 
Watu tuna genye zetu tumetulizana,, tuanze kujadili za kwako,, unaumwa
Umeamua kuweka wazi hadhira ijue kama una Nyege?!... uko na cofidence sana!😃👍🏾👍🏾👍🏾

#OnlyTruthCanSetYouFree
 
Back
Top Bottom