Wengine tuliumbiwa kuachwa kwenye mahusiano

Huyo ni mwanao,sasa mama na mtoto si mnatengana kwa muda tu lkn mama unaendelea kuwa mama na mtoto anaendelea kuwa mtoto tu,sasa kuna shida hapo?
 
Atakupaje pesa na hapati sex, mi mwenyewe siwezi. Nikiingia kwa mahusiano ya namna hiyo naona hiyo text lazima itamhusu mtu,

Kama no sex hadi ndoa basi no kutoa pesa hadi ndoa, nikichoka nasepa.
 
Acha kudate na watoto wadogo tafuta wa size yako 😃
 
Hongera mwaya. Ukipata nafasi ya kuwa single usiichezee.
 
DUNIA,

Story zako na uhusika unaovaa unaonyesha wewe ni mshangazi na ndo maana unadate na vijana tena wanaokuomba hela na kuishia kukuita Mama yao.
Soln: Tafuta wababa wa umri wako wabless mzigo wale ndoa zishagawavuruga wakipata tulizo wanatulia na vibunda wanamwaga ile ile.

Ukishindwa kabisa jaribu kua single mwaka mzima unone tena, Urudishe Shukran.
 

Nikifika umri wa mshangazi nitakuwa sina hizi stress
 
Nikifika umri wa mshangazi nitakuwa sina hizi stress
Huwez amin Mashangazi ndo mnastress sana kuliko hata Majanjaro maana wao bado wanasoko. Ko kama umeanza mapema hivi kazi unayo mpaka kufika Menopause moyo ushabaki vipande tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…