Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Kwa hiyo kaka Kwa miaka 12 hujashenyeta?Shetani ana njia nyingi aisee 🤣🤣🤣
Unataka kupoteza kombe eeeh ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kaka Kwa miaka 12 hujashenyeta?Shetani ana njia nyingi aisee 🤣🤣🤣
Unataka kupoteza kombe eeeh ???
Muulize mwanetu 🤣🤣🤣Kwa hiyo kaka Kwa miaka 12 hujashenyeta?
Nakuuliza ww au yy ndo ana-'accept cookies'Muulize mwanetu 🤣🤣🤣
Nishampa hicho kitengo yeye 🤣🤣🤣Nakuuliza ww au yy ndo ana-'accept cookies'
Chege ft DiamondNishampa hicho kitengo yeye 🤣🤣🤣
Huyo ni mwanao,sasa mama na mtoto si mnatengana kwa muda tu lkn mama unaendelea kuwa mama na mtoto anaendelea kuwa mtoto tu,sasa kuna shida hapo?Hakuna ugomvi hakunaa shida yoyote… niliona mabadiliko yake Kama siku 2 hivi nyuma.. Leo from no where ananitumia hii sms
“Mama angu samahani sanaa si kwa ubayaa ila me naona haya mahusiano yaishie hapa mimi binafsi na mambo mengi sina muda na wewe kabisaa sasa kwahyo hatuwezi kujengaa mahusiano yaliyokamili kwa ubize mahusiano yanataka muda sanaa ila mimi muda nimekosaa nadhani hata ww shahidi kwa hilo kwahyo me naomba tu nisikupotezee muda kwa sasa kabla hatujafika mbali... ngoja na mimi nituliee kwanzaa pale nitakapoona na muda basi nitaanzisha mahusiano ila am very sorry mama angu.... kama kuna sehemu tulimkosea Mungu kwa namna yoyte atusamehe”[emoji174]
Nilichomjibu[emoji116][emoji116][emoji116]
“Ooh sawa hakuna tatizo.. kama umeliona hilo it's okay.. nimefurahi kwa kuniweka wazi. Sisi wote ni vijana Kuna maisha mengine lazima yaendelee”
Huyu mkaka nimeanza nae hata miezi 3 hatujamaliza, japo siku mtilia maanani kwasababu ya red flag hizi
1:Anapenda kuombaomba hela, ukimshtukia anajifanya kuwa alikuwa anatania
2;Anaenda kwenye makongamano ya waimbaji sana( wengi wanaoenda huko wanatafutaga wadada ama wakaka)
3; Ni mgumu kutoa hela zake.. hata ukiishiwa vocha utamuomba atakuzungusha siku 3 ndio upewe
4; Analazimisha aje kwetu kwa madai kuwa anakuja kumsalimia mama( jambo ambalo nilimkatalia kuwa sisi kwetu anaetaka kuoa ndio anaruhusiwa kuja home si jambo zuri mimi kupeleka wanaume kwa mama yangu naona Ali mind )
Tumeachana kwa amani.. nashukuru Mungu process ya kukulana ili fail kwasababu ya ubize wake, hii imesaidia nisiumie sana wala kujutia na nimejifunza hapa usifanye sex mapema sana lolote linaweza kutokea huko mbeleni [emoji174]
Nimejiuliza maswali sana… kuna shida gani mbona sijawah kupata mpnz wa kudumu yaani nikaenjoy mahusiano( japo nimewai kuwa na kijana kwa sasa hayupo ila nilienjoy)
Nimewaza tu nikae single kama hata huyu church boy kaniachaa [emoji2960]
Atakupaje pesa na hapati sex, mi mwenyewe siwezi. Nikiingia kwa mahusiano ya namna hiyo naona hiyo text lazima itamhusu mtu,Bro nimetulia more than 7 months without hiyo kung’onoka… nimejituliza sana kungoja mtu sahihi.. hata huyu nilivomuona mtu wa ibadaibada nikasema angalau
Changamoto ni kuwa hupewi chochote zaidi ya kuulizwa umekula, umeoga ,unafanyaje na nambie
Unasumbuka na yote upwiru na hela huna hii sasa inakuwa ni zaidi ya tress
Una imani kubwa ? 🤔Yaan kwa miaka 12 ukae bila bila? Labda uniambie una shida mahala.
Sijaelewa hapa ...Yani kwamba unatype ukiwa Mbinguni au ?Nimesharudi kwa Mungu
Hv mh dc wa pili , tangu joan akupige chini hujatafuta chombo ingine 🤔Mahusiano yapo overrated tuliza wenge
DUNIA,
Story zako na uhusika unaovaa unaonyesha wewe ni mshangazi na ndo maana unadate na vijana tena wanaokuomba hela na kuishia kukuita Mama yao.
Soln: Tafuta wababa wa umri wako wabless mzigo wale ndoa zishagawavuruga wakipata tulizo wanatulia na vibunda wanamwaga ile ile.
Ukishindwa kabisa jaribu kua single mwaka mzima unone tena, Urudishe Shukran.
Acha kudate na watoto wadogo tafuta wa size yako [emoji2]
Sijaelewa hapa ...Yani kwamba unatype ukiwa Mbinguni au ?
Kumbe bado hujayakatia tamaa 😃 c umesema mapenzi basi ww?Huyu Mzee kabisa saivi naenda tafuta wababa
Huwez amin Mashangazi ndo mnastress sana kuliko hata Majanjaro maana wao bado wanasoko. Ko kama umeanza mapema hivi kazi unayo mpaka kufika Menopause moyo ushabaki vipande tu.Nikifika umri wa mshangazi nitakuwa sina hizi stress