Wengine tuliumbiwa kuachwa kwenye mahusiano

Unapomwacha mtu lazima uwe na maelezo mengi ya hivyo .....hayo maelezo mengi wanatoa wanaume wasio na pesa..... sikuhizi unapoachana na mtu unamute...ataelewa tu.
Hii haihusiani kuwa na hela au kutokua nayo issue ni kuachana tu kistaarabu bila kizaizai ukimwambia hivyo mtu anakuelewa tu kuna wanawake hawaelewagi una hela au huna and I'm the living proof nime experience
 
Shida ni kwamba hutaki kutoa penzi! Dada, Kwa mapenzi ya vijana wa sasa, utaachwa sana. Hiki ni kizazi kinachoamini kuwa... Mwanamke akikupenda lazima akuvulie chupi, asipokuvulia wewe Kuna mwengine anamvulia
 
Unamuomba hela sana?
 
Shida ni kwamba hutaki kutoa penzi! Dada, Kwa mapenzi ya vijana wa sasa, utaachwa sana. Hiki ni kizazi kinachoamini kuwa... Mwanamke akikupanda lazima akuvulie chupi, asipokuvulia wewe Kuna mwengine anamvulia

Hio sababu… Kama angekuwa anataka hivyo angeniambia sasa Kama tangu tuanze uhusiano tumeonana mara 2 na tunakaa mkoa mmoja ambayo nauli ni 600 tu kuona ni changamoto hilo penzi ningetoa kwa simu

Na yeye ndio alikuwa hayuko interested na hilo jambo akisema kuwa kuzini ni dhambi sasa mimi ningemlazimisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…