Wengine tuliumbiwa kuachwa kwenye mahusiano

Hii haihusiani kuwa na hela au kutokua nayo issue ni kuachana tu kistaarabu bila kizaizai ukimwambia hivyo mtu anakuelewa tu kuna wanawake hawaelewagi una hela au huna and I'm the living proof nime experience
Mi ninachojua ukiachwa achika🤒
 
Samahani dada, tatizo limeanzia hapo kwenye vocha kama hajatuma hujibu sms zake
Rekebisha hapo
 
Samahani dada, tatizo limeanzia hapo kwenye vocha kama hajatuma hujibu sms zake
Rekebisha hapo

Hakuna kitu wewe mwanaume gani ananiambia mimi nimtoe out Halafu nikimkazia anasema alikuwa ananitania

Mimi nilishawahi kumuazima karibu laki 2 alikuwa ana shida sana kunirudishia tu akaanza kuomba nimsamehe sijui mpnz hadaiwi nikakomaa mpk akanilipa

Safari hii nimejiona kabisaa sina kosaa lolote
 
Kumbe unachotaka ni kuachwa kwa process sasa haijalishi unaachwaje

Sitaki chochote kati ya hivyo ila haipendezi kucheza na hisia za mtu kujidai unampenda maana hizo nakupenda ni kila saa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…