Wengine tuliumbiwa kuachwa kwenye mahusiano

Ukiona vijana wenzako wanakusumbua, jaribu na kwa sisi wazee halafu uone mapenzi yalivyo na raha ya kipekee.
 
Hili nataka nilizingatie sasa hivi tatizo mna watoto wakubwa sana mpk tunaona aibu
Duh! Siyo wazee wote tuna watoto wakubwa bwana! Ila sisi tuna faida nyingi zaidi kuliko hasara. Kama hizo hela za vocha huwa tunatuma tu hta kwa kupitia songesha!
 
Mmh unanitisha
Tafuta Mtumishi wa kiroho aliye deep akuombee ungekuwa Muislamu ungemtafuta Shehe akakufanyia kisomo, hopefully hiyo hali ingeondoka maana kutokana na nyuzi zako humu nikikusoma naona ni Msichana unayependa kwa moyo wako wote but at the end You end up with the 😞. Pole tafuta msaada wa kiroho na usiwe mwepesi wa kugawa tunda kwa kila Me unayeingia nae kwenye mahusiano. Unazidi kuupoteza utu wako
 
Nimekuwa nikipitia hiyo hali kila mara. Kwangu hunitokea pale mdada anakuwa mkimya ghafla na kuonekana yuko busy na mambo mengine.
 
Yule boss wa ofisini kwako mmefikia wapi? Usije ukaangukia kwake kama ulishaanza kuvutiwa nae na ghafla baby huku kakupiga chini.
Huyu ana spirit husband aisee 🤣🤣🤣
Yupo kwenye mahusiano halafu bado anamtamani boss wake niliona ule uzi wake.
 
wewe nindizain ya wale wadada wanaopenda wanaume base on physical appearance my friend utazeekea kwenu
ulikuja hapa na blah bla kibao mara huyu kaka nampenda kwa sababu za kitoto
 

Sawa nitalifanyia kazi
 
wewe nindizain ya wale wadada wanaopenda wanaume base on physical appearance my friend utazeekea kwenu
ulikuja hapa na blah bla kibao mara huyu kaka nampenda kwa sababu za kitoto

Sawa tuolewe na yoyote tu… nikifika huo umri wa yeyote basi nitafanya hivyo umri nilionao sio wa kukurupa mradi kijana kasema ananipenda basi nikubali tu no
 
Huyu ana spirit husband aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yupo kwenye mahusiano halafu bado anamtamani boss wake niliona ule uzi wake.

Mahusiano hatukulani ndio maana nimetamani wenginee
 
Kwa sifa hizi alikuwa hakufai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…