Wengine tuliumbiwa kuachwa kwenye mahusiano

Mahusiano hatukulani ndio maana nimetamani wenginee
Bado haujawa na utulivu wa akili kwenye upande wa mahusiano tuliza akili aisee unless otherwise utajikuta unaufikia umri wa Ushangazi ukazidi kuvurugika
 
Shida wanaume waoaji huwa mnawakataa na huwa hawabembelezi,
ila wasio na malengo juu ya mahusiano yenu mnawakubali sanaa na wanajua kubembeleza kinoma na nyie ndo mnadhani hao ni sahihi

Over
 
Bado haujawa na utulivu wa akili kwenye upande wa mahusiano tuliza akili aisee unless otherwise utajikuta unaufikia umri wa Ushangazi ukazidi kuvurugika

Bro nimetulia more than 7 months without hiyo kung’onoka… nimejituliza sana kungoja mtu sahihi.. hata huyu nilivomuona mtu wa ibadaibada nikasema angalau

Changamoto ni kuwa hupewi chochote zaidi ya kuulizwa umekula, umeoga ,unafanyaje na nambie

Unasumbuka na yote upwiru na hela huna hii sasa inakuwa ni zaidi ya tress
 
Bado hujaamua kuwa kwenye mahusiano serious

Sasa mahusiano seriously ni yapi… kwasababu huwezi kumwambia mwanaume nataka mtu seriously mwisho anaingia na hiyo gia then anasepa…. Nilitaka niyatengeneze haya kuw seriously but type ya niliekutana nae sasa
 
😃Ni heri ukapata mwanaume wako uchochoroni mwa bar,ila sio hao church boy,wanafichia upumbavu wao huko aseeeee usirudie tena
 
Shida wanaume waoaji huwa mnawakataa na huwa hawabembelezi,
ila wasio na malengo juu ya mahusiano yenu mnawakubali sanaa na wanajua kubembeleza kinoma na nyie ndo mnadhani hao ni sahihi

Over

Haha sio kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…