Wengine tuliumbiwa kuachwa kwenye mahusiano

Wengine tuliumbiwa kuachwa kwenye mahusiano

Mahusiano hatukulani ndio maana nimetamani wenginee
Bado haujawa na utulivu wa akili kwenye upande wa mahusiano tuliza akili aisee unless otherwise utajikuta unaufikia umri wa Ushangazi ukazidi kuvurugika
 
Shida wanaume waoaji huwa mnawakataa na huwa hawabembelezi,
ila wasio na malengo juu ya mahusiano yenu mnawakubali sanaa na wanajua kubembeleza kinoma na nyie ndo mnadhani hao ni sahihi

Over
Hakuna ugomvi hakunaa shida yoyote… niliona mabadiliko yake Kama siku 2 hivi nyuma.. Leo from no where ananitumia hii sms

“Mama angu samahani sanaa si kwa ubayaa ila me naona haya mahusiano yaishie hapa mimi binafsi na mambo mengi sina muda na wewe kabisaa sasa kwahyo hatuwezi kujengaa mahusiano yaliyokamili kwa ubize mahusiano yanataka muda sanaa ila mimi muda nimekosaa nadhani hata ww shahidi kwa hilo kwahyo me naomba tu nisikupotezee muda kwa sasa kabla hatujafika mbali... ngoja na mimi nituliee kwanzaa pale nitakapoona na muda basi nitaanzisha mahusiano ila am very sorry mama angu.... kama kuna sehemu tulimkosea Mungu kwa namna yoyte atusamehe”[emoji174]

Nilichomjibu[emoji116][emoji116][emoji116]

“Ooh sawa hakuna tatizo.. kama umeliona hilo it's okay.. nimefurahi kwa kuniweka wazi. Sisi wote ni vijana Kuna maisha mengine lazima yaendelee”

Huyu mkaka nimeanza nae hata miezi 3 hatujamaliza, japo siku mtilia maanani kwasababu ya red flag hizi

1:Anapenda kuombaomba hela, ukimshtukia anajifanya kuwa alikuwa anatania

2;Anaenda kwenye makongamano ya waimbaji sana( wengi wanaoenda huko wanatafutaga wadada ama wakaka)

3; Ni mgumu kutoa hela zake.. hata ukiishiwa vocha utamuomba atakuzungusha siku 3 ndio upewe

4; Analazimisha aje kwetu kwa madai kuwa anakuja kumsalimia mama( jambo ambalo nilimkatalia kuwa sisi kwetu anaetaka kuoa ndio anaruhusiwa kuja home si jambo zuri mimi kupeleka wanaume kwa mama yangu naona Ali mind )

Tumeachana kwa amani.. nashukuru Mungu process ya kukulana ili fail kwasababu ya ubize wake, hii imesaidia nisiumie sana wala kujutia na nimejifunza hapa usifanye sex mapema sana lolote linaweza kutokea huko mbeleni [emoji174]

Nimejiuliza maswali sana… kuna shida gani mbona sijawah kupata mpnz wa kudumu yaani nikaenjoy mahusiano( japo nimewai kuwa na kijana kwa sasa hayupo ila nilienjoy)

Nimewaza tu nikae single kama hata huyu church boy kaniachaa [emoji2960]
 
Bado haujawa na utulivu wa akili kwenye upande wa mahusiano tuliza akili aisee unless otherwise utajikuta unaufikia umri wa Ushangazi ukazidi kuvurugika

Bro nimetulia more than 7 months without hiyo kung’onoka… nimejituliza sana kungoja mtu sahihi.. hata huyu nilivomuona mtu wa ibadaibada nikasema angalau

Changamoto ni kuwa hupewi chochote zaidi ya kuulizwa umekula, umeoga ,unafanyaje na nambie

Unasumbuka na yote upwiru na hela huna hii sasa inakuwa ni zaidi ya tress
 
Bado hujaamua kuwa kwenye mahusiano serious

Sasa mahusiano seriously ni yapi… kwasababu huwezi kumwambia mwanaume nataka mtu seriously mwisho anaingia na hiyo gia then anasepa…. Nilitaka niyatengeneze haya kuw seriously but type ya niliekutana nae sasa
 
Bro nimetulia more than 7 months without hiyo kung’onoka… nimejituliza sana kungoja mtu sahihi.. hata huyu nilivomuona mtu wa ibadaibada nikasema angalau

Changamoto ni kuwa hupewi chochote zaidi ya kuulizwa umekula, umeoga ,unafanyaje na nambie

Unasumbuka na yote upwiru na hela huna hii sasa inakuwa ni zaidi ya tress
😃Ni heri ukapata mwanaume wako uchochoroni mwa bar,ila sio hao church boy,wanafichia upumbavu wao huko aseeeee usirudie tena
 
Shida wanaume waoaji huwa mnawakataa na huwa hawabembelezi,
ila wasio na malengo juu ya mahusiano yenu mnawakubali sanaa na wanajua kubembeleza kinoma na nyie ndo mnadhani hao ni sahihi

Over

Haha sio kweli
 
Back
Top Bottom