Wengine tuliumbiwa kuachwa kwenye mahusiano

Huyo jamaa amekuwa kama sungura kwenye shairi la sizitaki mbichi hizi. Ukweli ni kwamba kuna vitu alivitarajia lakin matarajio yakawa sio akaamua kusepa. Kuwa na amani wakati wako ukifika atakuja mtu sahihi, endelea kumtumikia Mungu.
 
Huyo jamaa amekuwa kama sungura kwenye shairi la sizitaki mbichi hizi. Ukweli ni kwamba kuna vitu alivitarajia lakin matarajio yakawa sio akaamua kusepa. Kuwa na amani wakati wako ukifika atakuja mtu sahihi, endelea kumtumikia Mungu.

Ni kweli haswa kwenye suala la kuomba pesa naona alitaka kunifanya niwe nampa pesa
 

Aisee nashukuru japo nahisi hii ni pressure kuona wenzangu wamefika mbali mimi nipo tu

Kuna mdogo angu ameolewa nikampongeza ananiambia mpk sisi tunaolewa wewe upo tu ila nakuombea na wewe utaolewa

Nilijisikia vibaya japo nilijifanya kucheka [emoji174]
 
yani nipo nawewe afu unasema single kwa miaka 12 😔 kwel wanaume wabaya sana.
 
Namna gani
Epuka kuangalia sinema au tamthillia zenye maudhui ya mahusiano.

Fanya mazoezi hata ya kutembea, yoga, kuruka kamba.

Ukizidiwa zaidi na upwiru chukua kitambaa loweka kwenye majivu ya vuguvugu jikande kwenye maungio ya mapaja.
Soma habari za imani yako na ili uwe na msawaziko mzuri wa mawazo soma habari za mashahidi wa Jehovah
 
Na lile zoezi nalo hujafanya kwa hiyo miaka 12 au ?
 
Duuuh pole
Nabaada ya hapo naona utaachika tena .
Si kwa ubaya
 

Ngoja nifanyie kazi maana siku hizi najiona nitapotea kwa hizi imagination
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…