Wengine tuliumbiwa kuachwa kwenye mahusiano

Hakuna ugomvi hakunaa shida yoyote… niliona mabadiliko yake Kama siku 2 hivi nyuma.. Leo from no where ananitumia hii sms

“Mama angu samahani sanaa si kwa ubayaa ila me naona haya mahusiano yaishie hapa mimi binafsi na mambo mengi sina muda na wewe kabisaa sasa kwahyo hatuwezi kujengaa mahusiano yaliyokamili kwa ubize mahusiano yanataka muda sanaa ila mimi muda nimekosaa nadhani hata ww shahidi kwa hilo kwahyo me naomba tu nisikupotezee muda kwa sasa kabla hatujafika mbali... ngoja na mimi nituliee kwanzaa pale nitakapoona na muda basi nitaanzisha mahusiano ila am very sorry mama angu.... kama kuna sehemu tulimkosea Mungu kwa namna yoyte atusamehe”[emoji174]

Nilichomjibu[emoji116][emoji116][emoji116]

“Ooh sawa hakuna tatizo.. kama umeliona hilo it's okay.. nimefurahi kwa kuniweka wazi. Sisi wote ni vijana Kuna maisha mengine lazima yaendelee”

Huyu mkaka nimeanza nae hata miezi 3 hatujamaliza, japo siku mtilia maanani kwasababu ya red flag hizi

1:Anapenda kuombaomba hela, ukimshtukia anajifanya kuwa alikuwa anatania

2;Anaenda kwenye makongamano ya waimbaji sana( wengi wanaoenda huko wanatafutaga wadada ama wakaka)

3; Ni mgumu kutoa hela zake.. hata ukiishiwa vocha utamuomba atakuzungusha siku 3 ndio upewe

4; Analazimisha aje kwetu kwa madai kuwa anakuja kumsalimia mama( jambo ambalo nilimkatalia kuwa sisi kwetu anaetaka kuoa ndio anaruhusiwa kuja home si jambo zuri mimi kupeleka wanaume kwa mama yangu naona Ali mind )

Tumeachana kwa amani.. nashukuru Mungu process ya kukulana ili fail kwasababu ya ubize wake, hii imesaidia nisiumie sana wala kujutia na nimejifunza hapa usifanye sex mapema sana lolote linaweza kutokea huko mbeleni [emoji174]

Nimejiuliza maswali sana… kuna shida gani mbona sijawah kupata mpnz wa kudumu yaani nikaenjoy mahusiano( japo nimewai kuwa na kijana kwa sasa hayupo ila nilienjoy)

Nimewaza tu nikae single kama hata huyu church boy kaniachaa [emoji2960]
Huyo jamaa amekuwa kama sungura kwenye shairi la sizitaki mbichi hizi. Ukweli ni kwamba kuna vitu alivitarajia lakin matarajio yakawa sio akaamua kusepa. Kuwa na amani wakati wako ukifika atakuja mtu sahihi, endelea kumtumikia Mungu.
 
Ni kweli haswa kwenye suala la kuomba pesa naona alitaka kunifanya niwe nampa pesa
 
Only 7 months ? Halafu ni Ke ? Mbona Me nina miaka 12 sina mahusiano ? Kupata mtu sahihi kwenye mahusiano ni changamoto sana. Cha msingi tulia na usiwe na hofu ya kusema umri unaenda mbona sijapata mchumba ? Kila kitu huja kwa wakati ulio sahihi. Usiwe mwepesi wa kukubali kuanzisha mahusiano haraka maana unavyoonekana leo upo na huyu kesho na huyu inakuondoa kwenye uwezekano wa kupata mwenza wa maisha.

Pata muda wa kujitafakari na kufanya ibada aisee. Kubali kuwa na subira tu. Time heals wound una ubavu wa Mwanaume na mwenye ubavu wake anakutafuta pia. Tulia tu usikurupuke halafu tafuta mtumishi wa kiroho akuoombee japo sasa hivi imekuwa kama biashara kwenye hizi dini za kikristo.

Halafu kama unaweza kujihudumia kwa mahitaji yote kama Msichana wa kisasa hilo ni jambo bora sana. Unafanya kazi na unalipwa mshahara, Shukuru kwa hilo na si kila unalolitaka au kulipenda litakuja vile unavyotaka wewe. Mambo mengine ni mchakato.

Acha kuanzisha mahusiano kila unapotongozwa.

Aisee nashukuru japo nahisi hii ni pressure kuona wenzangu wamefika mbali mimi nipo tu

Kuna mdogo angu ameolewa nikampongeza ananiambia mpk sisi tunaolewa wewe upo tu ila nakuombea na wewe utaolewa

Nilijisikia vibaya japo nilijifanya kucheka [emoji174]
 
Only 7 months ? Halafu ni Ke ? Mbona Me nina miaka 12 sina mahusiano ? Kupata mtu sahihi kwenye mahusiano ni changamoto sana. Cha msingi tulia na usiwe na hofu ya kusema umri unaenda mbona sijapata mchumba ? Kila kitu huja kwa wakati ulio sahihi. Usiwe mwepesi wa kukubali kuanzisha mahusiano haraka maana unavyoonekana leo upo na huyu kesho na huyu inakuondoa kwenye uwezekano wa kupata mwenza wa maisha.

Pata muda wa kujitafakari na kufanya ibada aisee. Kubali kuwa na subira tu. Time heals wound una ubavu wa Mwanaume na mwenye ubavu wake anakutafuta pia. Tulia tu usikurupuke halafu tafuta mtumishi wa kiroho akuoombee japo sasa hivi imekuwa kama biashara kwenye hizi dini za kikristo.

Halafu kama unaweza kujihudumia kwa mahitaji yote kama Msichana wa kisasa hilo ni jambo bora sana. Unafanya kazi na unalipwa mshahara, Shukuru kwa hilo na si kila unalolitaka au kulipenda litakuja vile unavyotaka wewe. Mambo mengine ni mchakato.

Acha kuanzisha mahusiano kila unapotongozwa.
yani nipo nawewe afu unasema single kwa miaka 12 😔 kwel wanaume wabaya sana.
 
Namna gani
Epuka kuangalia sinema au tamthillia zenye maudhui ya mahusiano.

Fanya mazoezi hata ya kutembea, yoga, kuruka kamba.

Ukizidiwa zaidi na upwiru chukua kitambaa loweka kwenye majivu ya vuguvugu jikande kwenye maungio ya mapaja.
Soma habari za imani yako na ili uwe na msawaziko mzuri wa mawazo soma habari za mashahidi wa Jehovah
 
Na lile zoezi nalo hujafanya kwa hiyo miaka 12 au ?
 
Aisee sijui Kama nina changamoto ambazo mimi sizijui hama siwezi zioni… nime behave vizuri sana mpk yeye akawa ananisifia kuwa nimekua najitambua… juzi tumeongea vizuri sana mpk anasisitiza ananipenda na blablah jana tu hatujaongea Leo anatuma hiyo sms
Duuuh pole
Nabaada ya hapo naona utaachika tena .
Si kwa ubaya
 
Epuka kuangalia sinema au tamthillia zenye maudhui ya mahusiano.

Fanya mazoezi hata ya kutembea, yoga, kuruka kamba.

Ukizidiwa zaidi na upwiru chukua kitambaa loweka kwenye majivu ya vuguvugu jikande kwenye maungio ya mapaja.
Soma habari za imani yako na ili uwe na msawaziko mzuri wa mawazo soma habari za mashahidi wa Jehovah

Ngoja nifanyie kazi maana siku hizi najiona nitapotea kwa hizi imagination
 
Back
Top Bottom