Wengine tuliumbiwa kuachwa kwenye mahusiano

Ngoja nifanyie kazi maana siku hizi najiona nitapotea kwa hizi imagination
Imagination zipi ?
Halafu yale yote unayoya imagine asilimia 85 huwa hayapo na hayatokei acha hofu
 
Imagination zipi ?
Halafu yale yote unayoya imagine asilimia 85 huwa hayapo na hayatokei acha hofu

I mean kwamba upwiru unakaba koo hata ukipanda daladala mawazo ni hayohayo ukilala ukiamka ukimuona boss… kuishinda dhambi ni shughuli
 
I mean kwamba upwiru unakaba koo hata ukipanda daladala mawazo ni hayohayo ukilala ukiamka ukimuona boss… kuishinda dhambi ni shughuli
Sijui are you above 25 ? Or below that age ?
 
Eeh Mungu atusaidie maan hata tukiiacha hii kitu ufalme bado kuuona ni tabuu
 
Alitaka aonane na mama ili amuombe pesa 😅😅😅 hana lolote
 
Hakuna mtu ambaye hana bahati kwenye mahusiano itakuwa kuna mambo mengi bado hujui ungekuwa ndugu yangu ningekufundisha kila kitu, mungu hajaumba mtu kuja kuteseka haya ni mambo ya walimwengu tu
 
Kwanza juzi pepsi big ulikunywa??? 🤣🤣🤣
Alafu acha hizooo Chai kivipi yaani ?
Ili iweje yaani ? And what was the causes of that condition? You didn't even ask and you decided to conclude with your negativity.
Yaan kwa miaka 12 ukae bila bila? Labda uniambie una shida mahala.
 
Nipe namba yako inbox nahisi tunaendana Ila sito kuomba hela shariti usiwe na mtoto. Ila Mimi ni mtupi Kama joti
 
Nipo kilele chA 25
Aisee unaelekea kupevuka kiakili sasa hizo ishu za imagination zinakusababishia ni upwiru ni foolish age era tu. Anza kubadilisha mtazamo kila kitu kizuri kina mitihani na ndio maana hata shuleni huwa kuna mitihani ili upande daraja ni lazima ufanye mitihani ufaulu ndio uendelee. Kwanini moyo wako ukudanganye ? Bado ni msichana mdogo tunza hiyo mali atakuja wa kutulia na wewe mpaka uzee wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…