[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!Mshana Jr usinipige mkuu... nitafuta kauli baadae.
Naenda kumtafuta saint ivuga kuwa rafiki yake umemsahauUnakimbilia makapuku?
Ngoja nisubiri hapa mawe unayo pigwa [emoji120][emoji129] [emoji129] [emoji129] [emoji129]
Hadi nilewe comrade, hapa tayari nimesha piga supu ya mjusi, na mning'inio wote kwisha......Unaweza kuyaweka haya maandishi kwa kirengeza nimrushie mrwmbo mmoja nami nipate ujiko?
Duuuh umeanza kumpondea na huyo babu ulie mpa Dada ni kijana au hela tatizoHuyu ashazeeka wachuchu wanataka vijana wenye sura mn'gao
Mkuu wewe humjui Khantwe??
Nitakuazima kitu ya kachasa huta sikia maumivu kwa leo mpaka kesho kachasa ikiisha ndio uatasikia maumivuUtanicover wakija.