Wenje ana kazi maalum CHADEMA

 
Abdul hana fedha, fedha yote ni mali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

unless otherwise urekebishe usemi: Hongo kutoka kwa Abdul (na ueleze Abdul ni nani maana sio jina la Pekee kama Yesu au mtume Muhammad S.A.W)

Shubammit..
Tulia wewe watu wamekwepa sheria ya mtandao, ukiwashtaki wanampeleka Abdul michano
 
Wenje anaweza kukipasua chama.

Je ni kweli Wwnje anamxai Lissy?

Je Lissu amelipwa?
 
Siasa kuielewa ni vigumu sana. 2020 kaka yake Wenje aliuwawa kule Rolya kwa ushindani wa vyama pinzani na CCM.. Leo Wenje huyo huyo anaowaona wazuri hadi anachukua pesa zao. Bora nikae hivi hivi bila ushabiki wa siasa nibaki na Yesu wangu tu.
Watu aina ya Wenje ni wale ambao tunaambiwa wanawatoa ndugu zao kafara ili wapate utajiri. Watu wa namna hii ni hatari sana.

Kama ulivyosema, yaani Wenje kwa kweli ni shetani wa ajabu. Watu wameua ndugu yako kabisa wa damu, halafu baadaye wanakuwa marafiki zako, na kukufaidisha fedha za kishetani, na wewe unaona ni sawa!!
 
Wenye ana tabia za kimalaya malaya
 
Kwa Lissu kuacha kugombea Umakamu Mwenyekiti na kugombea Uwenyekiti ni sawa, ila kwa Wenje kugombea uwenyekiti wa Kanda na baadae Umakamu Mwenyekiti sio sawa. Uko sawa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…