Wenje ashinda Uenyekiti wa Kanda ya Victoria

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ni baada ya kubaki Mgombea pekee , kabla ya Uchaguzi huo Mpinzani wake John Pambalu alitangaza kujitoa

Bado haikujulikana sababu ya John Pambalu kujiondoa
====

Screenshot_2024-05-26-10-49-46-1.png
 
Chadema wanahongana hela za kutosha.

Pambalu amehongwa rushwa
 
Hii ni baada ya kubaki Mgombea pekee , kabla ya Uchaguzi huo Mpinzani wake John Pambalu alitangaza kujitoa

Bado haikujulikana sababu ya John Pambalu kujiondoa
Sababu ya kujitoa ni rushwa kutamalaki na yeye hakuwa na hela ya kuhonga. Akaona Bora yesheee! Kumbuka nami nilikuwa jirani na ukumbi wa uchaguzi na Pambalu ni jirani yangu! Ahahahahaha!!! Chama cha Demokrasia na Rushwa! Ahahahahaha!!!
 
Mbona wanasikika watu walewale wa 2010 tu? Ndiyo kusema chadema haijatengeneza wanachama wapya tangu 2010??
 
Sababu ya kujitoa ni rushwa kutamalaki na yeye hakuwa na hela ya kuhonga. Akaona Bora yesheee! Kumbuka nami nilikuwa jirani na ukumbi wa uchaguzi na Pambalu ni jirani yangu! Ahahahahaha!!! Chama cha Demokrasia na Rushwa! Ahahahahaha!!!
Mbona unajichekesha chekesha kiboya.

Swalama kweli rafiki?
 
Back
Top Bottom