Wenje ashinda Uenyekiti wa Kanda ya Victoria

Wenje ashinda Uenyekiti wa Kanda ya Victoria

Chadema wanahongana hela za kutosha.

Pambalu amehongwa rushwa
Wewe endelea na kukitumikia chama chenu chakavu, chama kimechokwa na watanzania wenye nia njema na taifa lao.

Chadema ndiyo chama kitawakomboa watanzania
 
Kanda ya Nyasa wanaosikika ni Sugu na Msigwa.
Kanda ya kaskazini namsikia Lema.

Ndiyo nikauliza chadema hakunal wanachama wengine ambao wanaoweza kugombea nafasi hizo na kuleta chachu mpya?
Kuna kuogopana sana CDM, nidhamu za uoga. Sugu na Msigwa wamejaribu kuvuka hapo.

Pamoja na Chama kujivunia watu makini, utamaduni wa uoga unadumaza talanta zao za uongozi.

Uungu mtu uliopo hasa kwenye nafasi ya mweyekiti wa chama, inadumaza demokrasia, inaonyesha bila Mbowe chama hakiwezi sogea, na kitakufa.

Hii dhana inaifanya CDM iwe sawa na vyama vichanga kama Chauma, UDP ya Cheyo.
Pia inakuwa kama CCM wasiopenda mabadiliko.

Matokeo ya CUF kugawanyika na kuishiwa nguvu ni sababu ya Lipumba kutotaka mabadiliko, sasa hivi amebaki na chama kisicho wanachama tena kama awali.
 
Sababu ya kujitoa ni rushwa kutamalaki na yeye hakuwa na hela ya kuhonga. Akaona Bora yesheee! Kumbuka nami nilikuwa jirani na ukumbi wa uchaguzi na Pambalu ni jirani yangu! Ahahahahaha!!! Chama cha Demokrasia na Rushwa! Ahahahahaha!!!
Nimeamini uvccm wote hamna akili hata kidogo.
Yaani rushwa ilivyo jikita ndani ya CCM bado unapanua kinywa chako juu ya cdm?
 
Kanda ya Nyasa wanaosikika ni Sugu na Msigwa.
Kanda ya kaskazini namsikia Lema.

Ndiyo nikauliza chadema hakunal wanachama wengine ambao wanaoweza kugombea nafasi hizo na kuleta chachu mpya?
Fomu zilichapishwa nyingi na kila mmoja aliruhusuwa kugombea
 
Kanda ya Nyasa wanaosikika ni Sugu na Msigwa.
Kanda ya kaskazini namsikia Lema.

Ndiyo nikauliza chadema hakunal wanachama wengine ambao wanaoweza kugombea nafasi hizo na kuleta chachu mpya?
Inakuuma sana chawa
 
Uungu mtu uliopo hasa kwenye nafasi ya mweyekiti wa chama, inadumaza demokrasia, inaonyesha bila Mbowe chama hakiwezi sogea, na kitakufa.
Kama kuna kosa kubwa chadema inaifanya ni kuendekeza nadharia hii
 
Ikikuuma ichomoe
Nadhani ni vema ukatoa ufafanuzi badala ya kuona kila anayeuliza ni adui. Nyenzo ya kwanza ya kueneza chama ni falsafa yake ndipo sera zinafuata.

Wafuasi wa chadema huwa kila anayetumia akili kufikiri kisha akaanza kuhoji hugeuzwa kuwa adui. Dr. Slaa alitukanwa, Zitto alitukaanwa, akina Mdee walitukanwa, akina Mashinji walitukanwa, akina Katambi walitukanwa, n.k. Hili halina afya kwa chama.
 
Wewe endelea na kukitumikia chama chenu chakavu, chama kimechokwa na watanzania wenye nia njema na taifa lao.

Chadema ndiyo chama kitawakomboa watanzania
Uchakavu wa CCM upo ktk madhaifu yake, ambayo kwa kiasi kikubwa yanaigwa na chadema. Mfano rushwa, kubinya demokrasia ndani ya chama, kubebana ktk uongozi, n.k. Kwahiyo chadema inachakaa hata kabla ya kuzeeka
 
Back
Top Bottom