Wenje ashinda Uenyekiti wa Kanda ya Victoria

Nimeamini uvccm wote hamna akili hata kidogo.
Yaani rushwa ilivyo jikita ndani ya CCM bado unapanua kinywa chako juu ya cdm?
Kwahiyo kwakuwa CCM kuna rushwa basi rushwa iliyopo Chadema isisemwe sio? Ahahahahaha!!!
 
Hiki chama kina vituko, mtu anaishi marekani, atawaongoza kwa remote?
 
Chadema wanahongana hela za kutosha.

Pambalu amehongwa rushwa
Kama unafikiri kuna hela, hamia na wewe huko ili ukazipate/ukahongwe..

Au wewe hupendi pesa?

Acha hizo wewe. Ma - CCM mlivyo na uchu wa pesa, ningekuwapo ugeshajigeuza kuwa "Malaika wa nuru" kitambo kuzimendea maana ninyi mko tayari kumtumia hata shetani ili mradi mpate maokoto!
 
MaCCM siku zote yanawaza kufisidi fedha za umma. Haya majitu ni ya ajabu sana.
 
Hii ni baada ya kubaki Mgombea pekee , kabla ya Uchaguzi huo Mpinzani wake John Pambalu alitangaza kujitoa

Bado haikujulikana sababu ya John Pambalu kujiondoa
====

View attachment 2999798
Kijana mdogo kama Pambalu kuwa mateka wa hili kundi linalongozwa na wachagga wa pale machame ni kinyaa haswaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…