Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
jikite kwenye madaAlipokuwa Nyamagana Wenje na madiwani wa Chadema walitaka kuuza uwanja wa nyagana. Na madiwani wa Ccm walimfuata JPM ndio akazuia uwanja wa Nyamagana usiuzwe. Kwa hiyo ni mpiga dili hata huko Rorya hawezi kupata kitu.
Ikiwa ndivyo usimsahau na Polopesa wa Ujalalani!!!Ndo mjue hawa watu ni wasanii tu,wanatafuta pesa,kama nyumbaninkwake kulikua ni Nyamagana amekimbilia nini nyumbani mwa watu kusiko muhusu? Wasanii tu hawa
Meya na naibu meya walitoka chama gani wakati huo?Alipokuwa Nyamagana Wenje na madiwani wa Chadema walitaka kuuza uwanja wa nyagana. Na madiwani wa Ccm walimfuata JPM ndio akazuia uwanja wa Nyamagana usiuzwe. Kwa hiyo ni mpiga dili hata huko Rorya hawezi kupata kitu.
Kwani nipo nje ya mada?jikite kwenye mada
Unauliza majibu?Meya na naibu meya walitoka chama gani wakati huo?
Je mgogoro wa Nyamagana ulianza wakati gani?
Nikukokotolee habari kwa ufupi toka kwa kada mwenzio:Unauliza majibu?
Hii ilikuwa awamu ya kwanza. 2010-2015 walitaka kuuza tena ijengwe hotel Chadema wanahusika.Nikukokotolee habari kwa ufupi toka kwa kada mwenzio:
maandamano kulilia nyamagana
Hiyo ni mwaka 2008 je Wenje alikuwa mbunge wakati huo?
Mkitaka kuwa waongo msiwe wasahaulifu... ni makada wa fisiemu walizidiwa nguvu na umma wa wanaMwanza ndipo ikabidi wateme ngese!!
Hayo maandamano ni 2008 haiwezi kubadilika itabaki kuwa hivyo ila unaruhusiwa kujitoa ufahamu na kubadili kalenda. Soma vema hiyo link japo kusoma si jadi yenuHii ilikuwa awamu ya kwanza. 2010-2015 walitaka kuuza tena ijengwe hotel Chadema wanahusika.
Bhiku Kotecha na madiwani wa Ccm walinusuru uwanja wa Nyagana usiuzwe na viongozi wa Chadema.Nikukokotolee habari kwa ufupi toka kwa kada mwenzio:
maandamano kulilia nyamagana
Hiyo ni mwaka 2008 je Wenje alikuwa mbunge wakati huo?
Mkitaka kuwa waongo msiwe wasahaulifu... ni makada wa fisiemu walizidiwa nguvu na umma wa wanaMwanza ndipo ikabidi wateme ngese!!
Ni Bhiku pekee upande wa CCM aliyesimama kuzuia ulaji wa mafisi na kama hutokosa aibu ni mwaka 2012 Fifa walipotoa fedha za ufadhili $500,000 ili uwanja huo uwekewe nyasi bandia.Bhiku Kotecha na madiwani wa Ccm walinusuru uwanja wa Nyagana usiuzwe na viongozi wa Chadema.
Acha matusi ya rejareja. Kuwa na heshima hapa tunajadili ukweli wa mambo sio kukata viuno.Ni Bhiku pekee upande wa CCM aliyesimama kuzuia ulaji wa mafisi na kama hutokosa aibu ni mwaka 2012 Fifa walipotoa fedha za ufadhili $500,000 ili uwanja huo uwekewe nyasi bandia.
NB: ongeza juhudi ya kupiga vigelegele na kukata kiunu na ukumbuke kushika ilani wakubwa huenda wakakuona
Hakuna matusi hapo... unataka kuupindisha ukweli kwa manufaa ya nani? Hiyo habari ya toka blog ya Issa Michuzi nimeiweka ni ya 2008 eewe unasema ni 2010-2015 ili iweje kama sio....?Acha matusi ya rejareja. Kuwa na heshima hapa tunajadili ukweli wa mambo sio kukata viuno.
Kwani Bhiku na wana Ccm hawakupigania uwanja usiuzwe 2010-2015? Wenje na wanachadema walitaka uuzwe.Hakuna matusi hapo... unataka kuupindisha ukweli kwa manufaa ya nani? Hiyo habari ya toka blog ya Issa Michuzi nimeiweka ni ya 2008 eewe unasema ni 2010-2015 ili iweje kama sio....?
Unakumbuka meya alikuwa nani 2005-2010 na kina nani walianzisha zengwe la kubinafsisha uwanja huo?Kwani Bhiku na wana Ccm hawakupigania uwanja usiuzwe 2010-2015? Wenje na wanachadema walitaka uuzwe.
Niulize habari za 2010-2015. Huko nyuma lala nazo mbele.Unakumbuka meya alikuwa nani 2005-2010 na kina nani walianzisha zengwe la kubinafsisha uwanja huo?
Hapo umethibitisha ambacho ulikiita matusi ya rejarejaNiulize habari za 2010-2015. Huko nyuma lala nazo mbele.
Wewe huwezi kukubali nafahamu! Ila tuliopo huku ndo tunaelewa.alinyang'anywa ushindi kwa mtutu
Kule nako LUGOLA analo kuna prof wa IRDP AMETANGAZA NIA KUPITIA MBOGAMBOGAKwani nani alikuambia Kange ni Mbunge wa Rorya? Kange yupo Jimbo la Mwibara.