Wenje kaongea utumbo sana Wasafi FM leo

Wenje kaongea utumbo sana Wasafi FM leo

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Nilidhani wenje ana elimu hata kidogo kumbe ni mweupe kiasi hiki. Contents nzima zililuwa zimejikita kwenye hisani ya ccm kuisaidi chadema au hisani kwa namna yoyote. Lisu anataka principals of administration weqe unazungumza hisani? Borq asingeenda wasafi fm amejidharilisha
 
Gentleman,
Wenje amekuchefua sana kwa kuongea ukweli hadharani ee 🐒
 
Nilidhani wenje ana elimu hata kidogo kumbe ni mweupe kiasi hiki. Contents nzima zililuwa zimejikita kwenye hisani ya ccm kuisaidi chadema au hisani kwa namna yoyote. Lisu anataka principals of administration weqe unazungumza hisani? Borq asingeenda wasafi fm amejidharilisha
Tutawajua kwa maneno na matendo yao
 
Nilidhani wenje ana elimu hata kidogo kumbe ni mweupe kiasi hiki. Contents nzima zililuwa zimejikita kwenye hisani ya ccm kuisaidi chadema au hisani kwa namna yoyote. Lisu anataka principals of administration weqe unazungumza hisani? Borq asingeenda wasafi fm amejidharilisha
Nenda wewe nawe tukusikilize lissu akiwaita mkaandamane hamtoki!
 
Nilidhani wenje ana elimu hata kidogo kumbe ni mweupe kiasi hiki. Contents nzima zililuwa zimejikita kwenye hisani ya ccm kuisaidi chadema au hisani kwa namna yoyote. Lisu anataka principals of administration weqe unazungumza hisani? Borq asingeenda wasafi fm amejidharilisha

Hawa jamaa wa Mboo wee wamesahau kuwa TAL ni wakili Msomi. Anawapandisha hasira kisha anawaachia wakiwa wanatapatapa kwa makasiriko !!

Dalali Wenje !!
 
Nilidhani wenje ana elimu hata kidogo kumbe ni mweupe kiasi hiki. Contents nzima zililuwa zimejikita kwenye hisani ya ccm kuisaidi chadema au hisani kwa namna yoyote. Lisu anataka principals of administration weqe unazungumza hisani? Borq asingeenda wasafi fm amejidharilisha
Amesema ukweli wote, wewe ndio umeandika mambo yanayokaa ndani ya utumbo
 
Hao Wasafi wamemuuliza Wenje anamdai fedha kiasi gani Tundu Lissu?

Alimkopesha wapi na za nini?

Kwanini alidhani ili deni lake (kama kweli anamdai) lilipwe ilikuwa ni lazima Tundu Lissu akubali kupokea mapesa ya Abdul na Mama Abdul a.k.a Bi Samia Suluhu Hassan?

Kwani Tundu Lissu amewahi kusema hana uwezo wa kulipa deni la Wenje (kama lipo) kwa kipato chake cha kawaida mpaka ategemee pesa za rushwa au hongo za Abdul na Mama Abdul a.k.a Bi. Samia Suluhu Hassan..?

Duuh, Wenje anazidi kuuanika na kuuthibitisha kwa uwazi udalali wake wa rushwa za CCM kupitia kwa Abdul miongoni mwa viongozi waandamizi wa CHADEMA...!
 
Nilidhani wenje ana elimu hata kidogo kumbe ni mweupe kiasi hiki. Contents nzima zililuwa zimejikita kwenye hisani ya ccm kuisaidi chadema au hisani kwa namna yoyote. Lisu anataka principals of administration weqe unazungumza hisani? Borq asingeenda wasafi fm amejidharilisha
Wewe ndio unaona utombo kama ambavyo akili yako inawaza kifinyuu,ruhusu akili yako iwaze kikubwaa ,
 
Back
Top Bottom