Naunga mkono hoja, viongozi wa type hii hawawezi kuisaidia lolote Chadema!. Siku ile akihojiwa kuhusu Abdul, kwanini amtumie kudai malipo ya Lissu, akasema kwasababu alimchangia Lissu fedha nyingi,hivyo anampambania Lissu ili akilipwa na yeye ataponea hapo kwa kupata chochote kitu!。Nilidhani wenje ana elimu hata kidogo kumbe ni mweupe kiasi hiki.
PWanabodi,
Sasa nikiwa hapa Dodoma kwenye hili Bunge jipya, nimebahatika kukutana baadhi ya wabunge wapya wa CCM na wa kambi ya upinzani, kujaribu kufahamiana nao, sio siri, baadhi yao. kwa kuwaangalia tuu na kuzungumza nao, hawana kabisa any substance ya ni nini kilichowafanya washinde, na kwa wabunge wa viti maalum ndio kabisa usiseme!, kwa baadhi ya wabunge hawa wa viti maalum, sikuona ni kipi kilichowafanya wateuliwe na vyama vyao kuwa wabunge wa viti maalum!, wengi wao japo wameteuliwa kutimiza hitaji la usawa wa kijinsia, sababu za uteuzi wa baadhi yao ni ile jinsia yao kwa matumizi ya kutoa zile huduma muhimu zile,kama huduma za kibinaadamu kama za michangamano baadhi yao wakiwa ni vidumu vya baadhi ya waheshimiwa sana na sio kwa ajili ya kuchangia mijadala na hoja nzito za bungeni!, na hili litathibitishwa na michango yao bungeni katika mijadala mbalimbali, kuna baadhi mtawashuhudia kazi yao itakuwa ni kuonyesha umaridadi wa mavazi, kuonyeshea mishapes na kuuza tuu sura kule mjengoni! na mwisho wa siku hivi 'vidumu' vitakuja kuwaponza wamiliki wa 'vidumu' hivi kwa kupata mapigo ya karma ya wake wa ndoa wa waheshimiwa hao!.
Nilipoongea na baadhi ya wale makamanda waliokata magogo kule Kanda ya Ziwa, kiukweli nimewaona baadhi yao ni watu wa kawaida sana tuu with nothing special kilichowafanya wachaguliwe na kuibwaga CCM na vigogo wake wenye nguvu, influence na pesa, iliyoota mizizi kwenye kanda hivyo , hivyo nimefikia jibu moja tuu la uhakika, kuwa CCM katika baadhi ya maeneo, imechokwa mpaka basi!, upinzani hata ungesimamisha jiwe, jiwe lingechaguliwa!, nadhani hii ni moja ya sababu kuu iliyopelekea wengi wa waliojiandikisha kupiga kura, hawakujitokeza kupiga kura, waliona kujitokeza kupiga kura ni wastage of their valuable time, ni kujisumbua tuu!, hata uchague nini,mwisho wa siku mshindi ni yule yule!。
Kisa kaongea usichotaka kusikia? Lissu achangie chama aache perepeche mpaka ute ute unamtoka mdomoni kwa umbea..... apeleke tumbo huko....atoe mchango kwa chama!!Nilidhani wenje ana elimu hata kidogo kumbe ni mweupe kiasi hiki. Contents nzima zililuwa zimejikita kwenye hisani ya ccm kuisaidi chadema au hisani kwa namna yoyote. Lisu anataka principals of administration weqe unazungumza hisani? Borq asingeenda wasafi fm amejidharilisha
Hili sakata limesaidia kuwajua wapambanaji hasa wa CHADEMA!! LISSU si miongoni mwao bora hela yangu nimpe Mbowe sio Lissu!!Naunga mkono hoja, viongozi wa type hii hawawezi kuisaidia lolote Chadema!. Siku ile akihojiwa kuhusu Abdul, kwanini amtumie kudai malipo ya Lissu, akasema kwasababu alimchangia Lissu fedha nyingi,hivyo anampambania Lissu ili akilipwa na yeye ataponea hapo kwa kupata chochote kitu!。
Angalia hapa 2010 nilisema nini kumhusu Wenje CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!
P
Mbona mimi nimeona zaidi ya hayo? Kuna gharama za uchaguzi huu na namna walivyokubaliana kufanya fund raising na jinsi ambavyo Mbowe amepewa jukumu la kutafuta 250M. Au wewe umeangalia kipande tu?Nilidhani wenje ana elimu hata kidogo kumbe ni mweupe kiasi hiki. Contents nzima zililuwa zimejikita kwenye hisani ya ccm kuisaidi chadema au hisani kwa namna yoyote. Lisu anataka principals of administration weqe unazungumza hisani? Borq asingeenda wasafi fm amejidharilisha
Hakika! Kuna watu wanaenda na upepo tu, lakini ukisikia hoja za pande mbili, Lissu ana kasoro nyingi hasa katika ujenzi wa chamaHili sakata limesaidia kuwajua wapambanaji hasa wa CHADEMA!! LISSU si miongoni mwao bora hela yangu nimpe Mbowe sio Lissu!!
To the contrary. Kuna clip ya Lissu akikiri kuwa Abdul aliongozana na mtu mwingine ( Wenje) na alimpa ushahidi kuwa hajalipwa madai yake. Na kuwa alimuambia Abdul kuwa akifanikisha hilo atakuwa rafiki yake wa maisha. Kama ni kweli Abdul alienda kumhonga itakuwaje amuambie mtu corrupt kama yule kuwa anaweza kuwa rafiki yake wa kudumu? Ni ama hio hongo haikuwepo au aliona sio tatizo. Kuna kitu gani cha ajabu kwa Wenje kufanya jitihada Lissu alipwe ile ili amrudishie pesa alizomkopesha? Amezungumzia pia jinsi Lissu alivyomzushia Mwenyekiti tuhuma za kuhongwa gari wakati Mwenyekiti alitoa ushahidi kuwa alinunua kwa pesa zake kwenye mnada. Au hamuamini kuwa Mbowe anaweza kuwa na pesa za kununua magari used mpaka ahongwe na CCM? Au mtu anaetaka kugombea uenyekiti anashindwa kuchangia hata thumni? Na kumbuka alisema kuwa alichangiwa na watu wengi pesa za kulipia fomu ya uchaguzi lakini fomu ililipiwa na Sativa. Mbona hajasema ile michango imetumika wapi?Naunga mkono hoja, viongozi wa type hii hawawezi kuisaidia lolote Chadema!. Siku ile akihojiwa kuhusu Abdul, kwanini amtumie kudai malipo ya Lissu, akasema kwasababu alimchangia Lissu fedha nyingi,hivyo anampambania Lissu ili akilipwa na yeye ataponea hapo kwa kupata chochote kitu!。
Angalia hapa 2010 nilisema nini kumhusu Wenje CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!
P
Lissu hakua mtu wa kumgeuka mkewe kwa ile hali mkewe alivyopambana nae vile...ujuaji mwingi mbele giza......Hakika! Kuna watu wanaenda na upepo tu, lakini ukisikia hoja za pande mbili, Lissu ana kasoro nyingi hasa katika ujenzi wa chama
Wenje amesema walikuwa watu 4, A,W,TL na msaidizi wa TL, A, hana msaidizi ila dereva wake ni wale jamaa zetu, 1st family wanalindwa na SS wetu!。To the contrary. Kuna clip ya Lissu akikiri kuwa Abdul aliongozana na mtu mwingine ( Wenje)
Nenda tu Arusha hizi siku 3 nikujiachia tu mitaaniTuachane na hilo jamani kama kuna mtu ana laki moja anikopeshe nitarejesha tarehe 20 mwezi wa kwanza 2025 angalau familia na mimi ifurahi kichwa kinawaka moto wadau
Hakusema alimkopesha,amesema alimchangia!。Mtu ukimchangia unapigania alipwe ili ku recover mchango wako?!。Kuna kitu gani cha ajabu kwa Wenje kufanya jitihada Lissu alipwe ile ili amrudishie pesa alizomkopesha?
Sijakuelewa. Kwangu mimi ha msingi ni kuwa Lissu alikiri kuwa suala la malipo yake lilizungumzwa kama alivyodai Wenje. Halafu alipobanwa kuhusu ushahidi Lissu anasema kuwa aliyempa taarifa hizo amekufa! Huyu sio wa kumuamini kabisa.Wenje amesema walikuwa watu 4, A,W,TL na msaidizi wa TL, A, hana msaidizi ila dereva wake ni wale jamaa zetu, 1st family wanalindwa na SS wetu!。
P
Hoja mezani ni utumbo wa Wenje, ila pia kuna watu huo utumbo kwao ndio preference!。tuendelee kula utumbo Mkuu Fundi Mchundo a。k。a Fundi Utumbo in FMeS voice。Amandla...
Hizo ni semantics. Hatujui alimpa kwa makubaliano gani maana walikuwa marafiki sana. Unaweza kumsaidia mtu kwa maelewano kuwa akiwa vizuri atakurudishia pesa hizo. Ni kawaida sana ingawa watu wengi hawapendi kulipa kwa dhana hiyo hiyo ya utamkopeshaji rafiki yako?Hakusema alimkopesha,amesema alimchangia!。Mtu ukimchangia unapigania alipwe ili ku recover mchango wako?!。
P
Kamgeuka vipi mke wake?Lissu hakua mtu wa kumgeuka mkewe kwa ile hali mkewe alivyopambana nae vile...ujuaji mwingi mbele giza......
Kwa facts tu ukiacha ushabiki Lissu anaeweza torokea uhamishoni akitishiwa Bunduki Chama amuachie nani?
Kisiasa Lissu hayko well matured kama wengi tunavyofikiri!!
naunga mkono hoja!。Much respectHizo ni semantics. Hatujui alimpa kwa makubaliano gani maana walikuwa marafiki sana. Unaweza kumsaidia mtu kwa maelewano kuwa akiwa vizuri atakurudishia pesa hizo. Ni kawaida sana ingawa watu wengi hawapendi kulipa kwa dhana hiyo hiyo ya utamkopeshaji rafiki yako?
Amandla....
Naunga mkono hoja.Nilidhani wenje ana elimu hata kidogo kumbe ni mweupe kiasi hiki. Contents nzima zililuwa zimejikita kwenye hisani ya ccm kuisaidi chadema au hisani kwa namna yoyote. Lisu anataka principals of administration weqe unazungumza hisani? Borq asingeenda wasafi fm amejidharilisha
Kuna Ile interview Wenje alijifanya na Odemba, alisema wazi kuwa ana hela yake katika hizi ambao Lissu atalipwa, ukiacha mchangoHakusema alimkopesha,amesema alimchangia!。Mtu ukimchangia unapigania alipwe ili ku recover mchango wako?!。
P