Wenje: Lissu mpaka anamaliza bunge la 11 hajachangia hata tsh.100 CHADEMA

Naona Wenje kaamua kumkalia kooni Tundu Lissu anafumua kila kilichojificha!

Je anayoyasema yanaukweli kiasi gani ? au ndiyo kampeni za kuchafuana. Ila aweke akiba ya maneno maana sisi ni People tutakutana tu!

Unapokuwa Mbunge wa CHADEMA unachangia Chama, Lissu mpaka anamaliza Bunge la 11 hajachangia hata Tsh.100 CHADEMA“ - Wenje

Hoja lakini mno

Dogo wenje kala hela ya abdul
 
We
Naona Wenje kaamua kumkalia kooni Tundu Lissu anafumua kila kilichojificha!

Je anayoyasema yanaukweli kiasi gani ? au ndiyo kampeni za kuchafuana. Ila aweke akiba ya maneno maana sisi ni People tutakutana tu!

Unapokuwa Mbunge wa CHADEMA unachangia Chama, Lissu mpaka anamaliza Bunge la 11 hajachangia hata Tsh.100 CHADEMA“ - Wenje

Wenje uko vizuri Lisu haaminiki
 
Lisu unashindwa kuchangia mill 30?
 
Hahaha wenje anataabika bure, Hiyo nafasi anayogombea yeye, Lisu hagombei, sasa madongo yoote haya ya nini?
Lisu akikosa u-mwenyekiti, pia atakuwa hana umakamu mwenyekiti, Wenje anataka kumuongezea stress, ashindwe kufanya kampeni?

Amuache kwanza haya ni mambo ya ndani.
 
Naona Wenje kaamua kumkalia kooni Tundu Lissu anafumua kila kilichojificha!

Je anayoyasema yanaukweli kiasi gani ? au ndiyo kampeni za kuchafuana. Ila aweke akiba ya maneno maana sisi ni People tutakutana tu!

Unapokuwa Mbunge wa CHADEMA unachangia Chama, Lissu mpaka anamaliza Bunge la 11 hajachangia hata Tsh.100 CHADEMA“ - Wenje

Pale unapochangia huku ukijua kabisa Mtu fulani anaenda kuzipiga. Utakuwa mjinga ukiendelea kuchanga.
 
Hawa wadau sasa huko wanakoelekea ni noma! Tungependa wabishane kwa hoja nzito nzito, siyo tulizoea siku zote! 😄
 
Wajumbe wa kamati kuu ndo wanachangia michango ili waje wajilipe posho kwa fedha walizozichanga wao? Ama imekaa jaa hapo?

Yani ni change pesa kisha uje unilipe kijisehemu cha pesa nilizochanga tena?
 
Sabodo alichangia chadema milioni 100 akiwa ccm, so kuchanga sio lazima.
Mbowe must gooo!.
 
Bunge la 11 kulikua na mama Abduli? Mbowe sio mjinga kushindwa kumuachia Lissu Chama!
Wewe ndo Fala! Kwani wana singida walimchagua Lissu akachangie chadema au achangie maendeleo jimboni kwao? Na ndo maana chama kinapewa ruzuku kulingana na uwakilishi haya hizo ruzuku ushawahi kujua zinapotelea shimo gani?
 
Naona Wenje kaamua kumkalia kooni Tundu Lissu anafumua kila kilichojificha!

Je anayoyasema yanaukweli kiasi gani ? au ndiyo kampeni za kuchafuana. Ila aweke akiba ya maneno maana sisi ni People tutakutana tu!

Unapokuwa Mbunge wa CHADEMA unachangia Chama, Lissu mpaka anamaliza Bunge la 11 hajachangia hata Tsh.100 CHADEMA“ - Wenje

Sasa hakuchangia vipi ilihali mmesema ni lazima!!
 
Naona Wenje kaamua kumkalia kooni Tundu Lissu anafumua kila kilichojificha!

Je anayoyasema yanaukweli kiasi gani ? au ndiyo kampeni za kuchafuana. Ila aweke akiba ya maneno maana sisi ni People tutakutana tu!

Unapokuwa Mbunge wa CHADEMA unachangia Chama, Lissu mpaka anamaliza Bunge la 11 hajachangia hata Tsh.100 CHADEMA“ - Wenje

Alisema hela ni zake sio za chama.
 
Bunge la 11 kulikua na mama Abduli? Mbowe sio mjinga kushindwa kumuachia Lissu Chama!
Sisi tusio wanachadema tunajitahidi kuwaonesha Kiongozi wa Kweli Chadema ni Mbowe wao wanamtaka Lissu chama kife waisingizie CCM.
 
Lissu sio mjinga achangie pesa wakati anajua zinaenda kuibiwa. Wajinga ndio waliwao
Kwahiyo Mkutano Mkuu anaotaka umchague kuwa Mwenyekiti utaendeshwa kwa gharama ya nani? Kwamba kina watu wagharimike ili wamchague yeye kuwaongoza? Seriously?
 
Back
Top Bottom