chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Akihojiwa na wasafi media, moja kati ya viongozi waandamizi wa chadema, Mr. Wenje amesema kwamba Lissu ni moja kati ya waandamizi wa uongo katika chama hicho. Na mara kadhaa amejaribu kupenyeza taarifa za uongo kufitinisha na kugombanisha viongozi wenzake wa chadema.
Lissu mara kadhaa pia amekuwa akipingwa na serikali na wanasiasa wa vyama vingine kutokana kauli zake ambazo sasa, viongozi wenzake wamekuja hadharani na kumuita muongo wa ngazi ya uzamivu.
Lissu mara kadhaa pia amekuwa akipingwa na serikali na wanasiasa wa vyama vingine kutokana kauli zake ambazo sasa, viongozi wenzake wamekuja hadharani na kumuita muongo wa ngazi ya uzamivu.