Dalali wenje ndiyo muongo alitaka kubambika Deni feki kwa Lisu kuwa anamdai afanye udalali akate pesa zake humo, Wenje ni aina ya watu wa hovyo sana waliopo chadema sasa, ni mtu mjinga sana uwezo wake wa kufikiri ni ndogo kupindukia, kasahau kuwa yeye ndiyo kamchokoza Lisu, alienda kufuata nini nyumbani kwa Lisu? Mbona Lisu hajaenda nyumbani kwa wenje? Watalamu wa mambo hupima ubaya kwa kuangalia chanzo cha Tatizo kwanza kiini cha haya yote ni chokochoko za Wenje kutaka kumdhoofisha Lisu kisiasa, lisu alishamshitukia wenye ndiyo maana kakwepa udalali wake na sasa anatapatapa na kuongea visivyoelewekaAkihojiwa na wasafi media, moja kati ya viongozi waandamizi wa chadema, Mr. Wenje amesema kwamba Lissu ni moja kati ya waandamizi wa uongo katika chama hicho. Na mara kadhaa amejaribu kupenyeza taarifa za uongo kufitinisha na kugombanisha viongozi wenzake wa chadema.
Lissu mara kadhaa pia amekuwa akipingwa na serikali na wanasiasa wa vyama vingine kutokana kauli zake Amazon sasa, viongozi wenzake wamekuja hadharani na kumuita muongo wa ngazi ya uzamivu.
Wenje mtu makini, aliwahi kuwa mwalimu wa chuo kikuu cha St. Augustine Mwanza, mtu wa hivyo huwezi kumchukulia poa, amefundisha ma mtu yana digrii, na sasa mabosiDalali wenje ndiyo muongo alitaka kubambika Deni feki kwa Lisu kuwa anamdai afanye udalali akate pesa zake humo, Wenje ni aina ya watu wa hovyo sana waliopo chadema sasa, ni mtu mjinga sana uwezo wake wa kufikiri ni ndogo kupindukia, kasahau kuwa yeye ndiyo kamchokoza Lisu, alienda kufuata nini nyumbani kwa Lisu? Mbona Lisu hajaenda nyumbani kwa wenje? Watalamu wa mambo hupima ubaya kwa kuangalia chanzo cha Tatizo kwanza kiini cha haya yote ni chokochoko za Wenje kutaka kumdhoofisha Lisu kisiasa, lisu alishamshitukia wenye ndiyo maana kakwepa udalali wake na sasa anatapatapa na kuongea visivyoeleweka
Wenje ni mla rushwa sanaAkihojiwa na wasafi media, moja kati ya viongozi waandamizi wa chadema, Mr. Wenje amesema kwamba Lissu ni moja kati ya waandamizi wa uongo katika chama hicho. Na mara kadhaa amejaribu kupenyeza taarifa za uongo kufitinisha na kugombanisha viongozi wenzake wa chadema.
Lissu mara kadhaa pia amekuwa akipingwa na serikali na wanasiasa wa vyama vingine kutokana kauli zake ambazo sasa, viongozi wenzake wamekuja hadharani na kumuita muongo wa ngazi ya uzamivu.
Apambane na Mama 2025Wenje anafaa kugombea urais wa tanzania
Wenje si mtu makini na kama alikuwa mwalimu alichokuwa akifundisha kimeshafutika kichwani mwake, sasa wenje kichwani ana Elimu ya Darasa la pili ni mjinga kupindukia udalali umemtoa ufahamu wote sasa ni mtu wa hovyo sana ni mtu punguani pekee aweza kumsikiliza wenye akamwelewaWenje mtu makini, aliwahi kuwa mwalimu wa chuo kikuu cha St. Augustine Mwanza, mtu wa hivyo huwezi kumchukulia poa, amefundisha ma mtu yana digrii, na sasa mabosi
Wenje mtu makini, aliwahi kuwa mwalimu wa chuo kikuu cha St. Augustine Mwanza, mtu wa hivyo huwezi kumchukulia poa, amefundisha ma mtu yana digrii, na sasa mabosi
Unadhani ni majaketi kama ya kwenu MaketeWenje hata chama cha madalali kwenyewe hawamkubali, kutwa kavaa jaketi hata kwenye joto yupo na jaketi kwa kifupi wenje ni mtu wa hovyo sana, chawa aliowatuma mje kumtetea humu kaleni pesa zake andikeni ujinga aliowatuma ili sisi tumjibu humu apate kujua ujinga wake wote
Ndiyo sifa ya Wana CCM.Wenje ni mla rushwa sana
Hicho chuo kifutwe haraka sana, alikuwa ana fundisha makupu tu, huyo hata nursery school hawezi fundisha, labda aka mfundishe Abdul kuiba pesa za Samia.Wenje mtu makini, aliwahi kuwa mwalimu wa chuo kikuu cha St. Augustine Mwanza, mtu wa hivyo huwezi kumchukulia poa, amefundisha ma mtu yana digrii, na sasa mabosi
Msomi makini sana, achana na huyo mnyoa panki, a mnyoa panki can't make a presidentHicho chuo kifutwe haraka sana, alikuwa ana fundisha makupu tu, huyo hata nursery school hawezi fundisha, labda aka mfundishe Abdul kuiba pesa za Samia.