johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Aseme kidogo kuhusu Andul na mipesa yake....unafikiwake kwa TLMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Ezekiel Wenje amesema Uchaguzi umeisha sasa anampa ushirikiano mkubwa mwenyekiti Lisu na Makamu Heche Kwa 100%
Wenje amesema Kuna SIASA za Joto la Uchaguzi na uchaguzi ukiisha mnarejea kuwa Wamoja
Wenje amesema October ndio mwisho wa CCM itake isitake
Chadema chama cha wala rushwa yaani makamu na mwenyekiti wake wanashirikiana na mla rushwa!Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Ezekiel Wenje amesema Uchaguzi umeisha sasa anampa ushirikiano mkubwa mwenyekiti Lisu na Makamu Heche Kwa 100%
Wenje amesema Kuna SIASA za Joto la Uchaguzi na uchaguzi ukiisha mnarejea kuwa Wamoja
Wenje amesema October ndio mwisho wa CCM itake isitake
Abdul ambaye ndiye mtoaji wa hiyo rushwa ni wa chama gani?Chadema chama cha wala rushwa yaani makamu na mwenyekiti wake wanashirikiana na mla rushwa!
Muulize wenje na Lissu simjui Abduli ni nani zaidi ya kumsikia lissu!Abdul ambaye ndiye mtoaji wa hiyo rushwa ni wa chama gani?
Dogo,Muulize wenje na Lissu simjui Abduli ni nani zaidi ya kumsikia lissu!
Nondo? 🐼Dogo,
Wacha kurukaruka, huyo mtoa rushwa ni ccm mwenzako
Wewe ndio uliwaunganisha au sio!Dogo,
Wacha kurukaruka, huyo mtoa rushwa ni ccm mwenzako
Kwanini sasa unalipa shingo adhabu ya kubeba KICHWA ambacho hakijui vitu??Muulize wenje na Lissu simjui Abduli ni nani zaidi ya kumsikia lissu!
Thubutuuuuu! Hawatoboiii walahi
Chadema ni chama kilichokaa watu wenye chuki sana baina yao. Kama hamumtaki Wenje si mnamfukuza tu!Aseme kidogo kuhusu Andul na mipesa yake....unafikiwake kwa TL
Wakikutana na Abdul atamwambia niniWenje amesema Kuna SIASA za Joto la Uchaguzi na uchaguzi ukiisha mnarejea kuwa Wamoja
Wenje amesema October ndio mwisho wa CCM itake isitake
Ya Mungu mengi...Thubutuuuuu! Hawatoboiii walahi
Hii single haitauzika mkuu ,Tunga nyingineChadema chama cha wala rushwa yaani makamu na mwenyekiti wake wanashirikiana na mla rushwa!