Wenje: Niko Chadema ninampa ushirikiano mkubwa mwenyekiti Lisu na Makamu Heche na nawahakikishia October tunaing'oa CCM madarakani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Ezekiel Wenje amesema Uchaguzi umeisha sasa anampa ushirikiano mkubwa mwenyekiti Lisu na Makamu Heche Kwa 100%

Wenje amesema Kuna SIASA za Joto la Uchaguzi na uchaguzi ukiisha mnarejea kuwa Wamoja

Wenje amesema October ndio mwisho wa CCM itake isitake
 
Aseme kidogo kuhusu Andul na mipesa yake....unafikiwake kwa TL
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Ezekiel Wenje amesema Uchaguzi umeisha sasa anampa ushirikiano mkubwa mwenyekiti Lisu na Makamu Heche Kwa 100%

Wenje amesema Kuna SIASA za Joto la Uchaguzi na uchaguzi ukiisha mnarejea kuwa Wamoja

Wenje amesema October ndio mwisho wa CCM itake isitake
Chadema chama cha wala rushwa yaani makamu na mwenyekiti wake wanashirikiana na mla rushwa!
 
Kapewa kazi nyingine, wanaskilizia plans zao mbadala..
 
kwahiyo sasa amekuwa informer wa kutuma ripoti upande wa pili kuwajulisha wa nini kinaendelea na nini kinapangwa huko chadema..huyu hafai kuaminiwa wala kushirikishwa kwenye mipango humo chadema atawaumiza..
 
wenje apige kazi ila connection zake ,za akina Abdul....ziwe na mipaka
 
Back
Top Bottom