Pre GE2025 Wenje: Nilikutana na Abdul mara ya kwanza kwenye tafrija na kumuuliza kwanini serikali ya mama yake hailipi fidia ya Lissu, alisema angesaidia alipwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Staili ni moja tu,"JIANGALIE MWENYEWE NA FAMILIA YAKO"
Hawa Wana siasa wanatuchukulia poa Santa.Hongera sana lissu kwa msimamo,japo kuwaamini wanasiasa iliisha siku mzee ruksa Rais mwinyi alivyosema Kuna CCM-A na CCM-B,nikaachanaga na maigizo yao labda wananchi wenyewe wachukue hatamu
 
Lissu anapigwa spana ccm na hata na viongozi waandamizi chadema, sababu ni moja tu, ukweli na uwazi kwake basi
 
Last time kiongozi mmpenda ukweli na uwazi alitokea nae alipigwa vita ndani ya chama. Its seems mifumo haitaki mtu alie nyooka
 
Wakuu,

Kwahiyo Abdul ni nani serikalini hadi aanze kumhoji kuhusu serikali kushindwa kumlipa Lissu pesa za matibabu? Yaani anaenda kupull strings kama nani?

Naona Wenye anatumia nguvu nyingi kujaribu kujiosha. Kwahiyo usiku huo alikuwa amempeleka Abdul kwa Lissu akiwa na hela za matatibabu kisirisiri?🌚

TUnaendelea kunywa mtori...

====

View attachment 3181310
TAKUKURU FUNGUA JALADA LA UCHUNGUZI HAPA, KAMA NCHI INAONGOZWA NA KATIBA NA SHERIA

HILI SEKESEKE HALIWEZI PITA HIVI HIVI

TAKUKURU KAMATA ABDUL PELEKA MAHAKAMANI

TUMEONA KULE USA MTOTO WA BIDEN ANASHITAKIWA

JUZI KULE ISRAEL NETANYAU AMEBURUZWA MAHAKANI

HAPA MTOTO WA RAISI ANAHONGA WATU ALAFU ANAACHWA TU.
 
Mbona wenje ana lafudhi ya kaskazini? Mi nilijuaga huyu jamaa ni wa kanda ya ziwa??
 
Wenje baada ya kufanya hayo alimjulisha Katibu Mkuu wa chama ama alimwambia Mwenyekiti? Wenje ni muongo sana.
 
Wakuu,

Kwahiyo Abdul ni nani serikalini hadi aanze kumhoji kuhusu serikali kushindwa kumlipa Lissu pesa za matibabu? Yaani anaenda kupull strings kama nani?

Naona Wenye anatumia nguvu nyingi kujaribu kujiosha. Kwahiyo usiku huo alikuwa amempeleka Abdul kwa Lissu akiwa na hela za matatibabu kisirisiri?🌚

TUnaendelea kunywa mtori...

====

View attachment 3181310

Wakuu,

Kwahiyo Abdul ni nani serikalini hadi aanze kumhoji kuhusu serikali kushindwa kumlipa Lissu pesa za matibabu? Yaani anaenda kupull strings kama nani?

Naona Wenye anatumia nguvu nyingi kujaribu kujiosha. Kwahiyo usiku huo alikuwa amempeleka Abdul kwa Lissu akiwa na hela za matatibabu kisirisiri?🌚

TUnaendelea kunywa mtori...

====

View attachment 3181310
huwaga nafuatilia siasa kama raia wengine wa kawaida lakini sija wahi haswa kufuatilia vyama vya siasa.Naona mambo yako very complicated haswa ndani ya CDM labda kwa kuwa yao wame amua kuyeweka wazi.Juzi niliangalia mdahara startv ule chief odemba na mashabiki wa lissu na mbowe.Nime ufuatilia sana ni meshangaa sana na wale watu(sijui kama walienda kuwa wakilisha L na M kwa baraka zao ama utashi wao tu),lakini mtazamo wangu huu uchaguzi unavyo fanyika, ukiisha uta complicate sana CDM kama taasisi. Mambo ni mengi aisee,ni kama watu wa vyama viwili tofauti.
 
Abdul Hana mama ambaye ni Serikali,

Anamaanisha mtoto wa diwani pia ni diwani wa watoto wote katani?

Hii Si Nchi ya kifalme kwamba mtoto awe na connection ya mamlaka ya mzazi wake aliye kiongozi.

Wenje amesaliti ndugu zake watz.

Shame on him.
 
Back
Top Bottom