GE2025 Wenje: Sasa hivi nimetoka CHADEMA, wanasema sina akili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria ambaye kwa sasa amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha dakika 45 ITV ameeleza namna uongozi wa CHADEMA haupendi kukosolewa wala kuambiwa ukweli

"Ukiwa nao wanakuona wewe ni mtu wa maana sana, ukitoka kwao wanakuona huna akili, yaani ukitoka kama mimi sasa hivi nimetoka wanasema sina akili…"- Ezekiel Wenje

Soma pia GE2025 - Wenje: Sikuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika

Huyu mtu Kwa nini anapewa airtime? Hicho alichokisema kama ni kweli inafaa mamlaka zimchukulie hatua. Misikitini na makanisani na huko Kwa akina Gwajima watu wao sio cult , hata cdm hakuna watu hao. Wenje anyamaze maana kakimbia mwenyewe. Iweje leo aje atoe tuhuma nzito Hivyo bila ushahidi na mtangazaji anamuangalia tu bila hata kuhoji ushahidi uko wapi?
 
Jana nilimuona kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV. Nampongeza mwendesha kipindi. Alijitahidi sana kumuuliza maswali ya msingi likiwemo lile la kwenda nyumbani kwa Lissu na mtoto wa Rais huku wakiwa na begi la hela.

Hakika jamaa alipata wakati mgumu sama kwenye kulijibu hili swali.

Lakini pia alisema eti Chadema ya sasa haina tofauti na NGO! Hapa nadhani alichemka! Hii Chadema ya sasa ndiyo wapenda mabadiliko tunaitaka. Kuendelea kuwabembeleza watu vigeugeu na wanafiki kwa ccm, ni kupoteza muda. Mapambano yaendelee mpaka kieleweke. Na mamluki wote wasiotaka mapambano ya kuiondoa ccm kwa vitendo, waondoke ili chama kibakie na Wazalendo tu.
 
Huyu Tutusa Kwa nini anapewa airtime? Hicho alichokisema kama ni kweli inafaa mamlaka zimchukulie hatua. Misikitini na makanisani na huko Kwa akina Gwajima watu wao sio cult , hata cdm hakuna watu hao. Wenje anyamaze maana kakimbia mwenyewe. Iweje leo aje atoe tuhuma nzito Hivyo bila ushahidi na mtangazaji anamuangalia tu bila hata kuhoji ushahidi uko wapi?
Kanunua Airtime kwa pesa alizonunuliwa akaongee upumbavu wake kwani Wenje ndiyo mwanasiasa Zwazwa kuliko wote Duniani
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria ambaye kwa sasa amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha dakika 45 ITV ameeleza namna uongozi wa CHADEMA haupendi kukosolewa wala kuambiwa ukweli

"Ukiwa nao wanakuona wewe ni mtu wa maana sana, ukitoka kwao wanakuona huna akili, yaani ukitoka kama mimi sasa hivi nimetoka wanasema sina akili…"- Ezekiel Wenje

Soma pia GE2025 - Wenje: Sikuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika

Ni kweli Wenje hana Akili ni zezeta zuzu mganga njaa Dalali wa Siasa, kanunuliwa na ccm kwa vicent kidogo tu sasa kajitoa fahamu anaongea upumbavu mtupu hewani bila Aibu
 
Kwanini asiongelee sera za chama chake kipya yeye majukwaani CDM mahojiano ni chama chake cha zamani wakati ameshatoka huko ajikite kuelezea chama chake kipya cha kale atemane nacho kiwe NGO kinamuuma kitu gani ? Maana anatuhuma nzito za kupewa mlungula toka enzi mbunge mpka hivi juzi kati
 
Huyu Tutusa Kwa nini anapewa airtime? Hicho alichokisema kama ni kweli inafaa mamlaka zimchukulie hatua. Misikitini na makanisani na huko Kwa akina Gwajima watu wao sio cult , hata cdm hakuna watu hao. Wenje anyamaze maana kakimbia mwenyewe. Iweje leo aje atoe tuhuma nzito Hivyo bila ushahidi na mtangazaji anamuangalia tu bila hata kuhoji ushahidi uko wapi?
ITV wawalike chadema ili kubalance kwani kumsikiliza kilaza wenje peke yake si haki
 
Mwandishi pia angemhoji kwann alijiapiza kamwe hawezi kwenda kwa ccm akisema walimuua kakake, je vp sasa hv kaenda ccm watamfufua??
 
Kwanini asiongelee sera za chama chake kipya yeye majukwaani CDM mahojiano ni chama chake cha zamani wakati ameshatoka huko ajikite kuelezea chama chake kipya cha kale atemane nacho kiwe NGO kinamuuma kitu gani ? Maana anatuhuma nzito za kupewa mlungula toka enzi mbunge mpka hivi juzi kati
Wenje sasa ni mbea anafanya siasa za umbea majungu fitina uzushi hana uwezo wa kujenga hoja kawa mwimba Taarabu IQ yake ni ndogo sana Njaa zinamsumbua, laana ya kuwasariti chadema zitamwandama hadi anyooke
 
Mwandishi pia angemhoji kwann alijiapiza kamwe hawezi kwenda kwa ccm akisema walimuua kakake, je vp sasa hv kaenda ccm watamfufua??
ccm wamemnunua kwa vicent kidogo kwani wenje ana njaa sana, ni kahaba wa siasa hana msimamo na Akili zake ni finyu mno
 
Jana kwenye Dakika 45 hakujibu maswali alikwepa yote akabakia kusifia ccm tu na kuwakandia chadema kwa style ya mipasho Taarabu, kwa kifupi ccm wameokota mzigo wa hovyo watajuta baadae na sasa kwani Wenje ni kunguru habebeki
 
Ndo maana wanaitwa Nyumbu uwezo wao wa kufikiri ni mdogo wakiambiwa kitu wanakubali bila kufikiri, ndo sifa ya Nyumbu ilivyo
 
Huyu Tutusa Kwa nini anapewa airtime? Hicho alichokisema kama ni kweli inafaa mamlaka zimchukulie hatua. Misikitini na makanisani na huko Kwa akina Gwajima watu wao sio cult , hata cdm hakuna watu hao. Wenje anyamaze maana kakimbia mwenyewe. Iweje leo aje atoe tuhuma nzito Hivyo bila ushahidi na mtangazaji anamuangalia tu bila hata kuhoji ushahidi uko wapi?
Ushahidi upi unataka sasa wakati kila kitu kipo wazi kuwa mnaakili za Kinyumbu? Sahivi Heche anaweza kuja kusema Kikwete kajenga Mansion huko Jupiter na wote mkaamini bila kujishughulisha kufikiri, alichoeleza ni sahihi kabisa kina reflect unyumbu wenu mtandaoni, na ndo watu kama kina mange kimambi wanatumia hiyo advantage kuwateka Nyumbu kibao
 
Kanunua Airtime kwa pesa alizonunuliwa akaongee upumbavu wake kwani Wenje ndiyo mwanasiasa Zwazwa kuliko wote Duniani
Na hiki kinasadifu alichokisema. Akiwa Chadema ni genius, akihamia CCM anakuwa zwazwa. Daah, vijana wa Chadema ni janga kwa Taifa.
 
Akili za wenje ni kama za mjusi cha Ajabu eti anamsifia mama kuwa aliwarejesha toka uhamishoni yeye Lema na Lisu na pia kuruhusu mikutano ya Siasa ambayo ilikuwa imepigwa marufuku, Ni mjinga sana yaani kasahau kuwa vyote hivyo vilikuwa kimyume na sheria na katiba ni uonevu mtupu, kuwarejesha Tanzania haikuwa Hisani bali ni Haki zao za msingi na kisheria , wenje ni mbumbumbu zuzu hajui hata Haki za halali na msingi, anaona kila linalofanywa na ccm ni Hisani
 
Wenje keshajitoa fahamu zote tutashuhudia akiongea ujinga zaidi kwani hana kazi zaidi ya kuwa chawaccm
 
Na alipokuja Chadema akitokea CCM mlimnunua kwa sh ngapi?
Chadema hawana BOT hawana Serikali hawana pesa kama wewe na Hazina yenu, wenje pindi anajiunga chadema alikuwa na Akili za mageuzi hakuwa na njaa kama sasa ambayo imempelekea kujitoa fahamu zote na kuongea upumbavu dakika 45 zote
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria ambaye kwa sasa amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha dakika 45 ITV ameeleza namna uongozi wa CHADEMA haupendi kukosolewa wala kuambiwa ukweli

"Ukiwa nao wanakuona wewe ni mtu wa maana sana, ukitoka kwao wanakuona huna akili, yaani ukitoka kama mimi sasa hivi nimetoka wanasema sina akili…"- Ezekiel Wenje

Soma pia GE2025 - Wenje: Sikuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika

Mbele ya umma ulikiri kuomba msaada wa ewezeshaji kwa Abdul, hicho ndiyo kilienda na akili yako yote uliyokuwa nayo na hiyo haijalishi kama ulikuwa na akili kiduchu au at least ulikuwa nayo ya kuweza kutofautisha mema na mbaya.
Kuna mifano mingi inayotudhihirishia jinsi pesa zinavyopofusha visions, common sense na akili, chukua mifano ya Lipumba na Zitto Kabwe.
 
Back
Top Bottom