GE2025 Wenje: Sasa hivi nimetoka CHADEMA, wanasema sina akili

GE2025 Wenje: Sasa hivi nimetoka CHADEMA, wanasema sina akili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wenje alishadharaulika sana bora ccm waache kumnunulia Airtime kwani badala ya kuwasaidia anawachafua zaidi
 
Ushahidi upi unataka sasa wakati kila kitu kipo wazi kuwa mnaakili za Kinyumbu? Sahivi Heche anaweza kuja kusema Kikwete kajenga Mansion huko Jupiter na wote mkaamini bila kujishughulisha kufikiri, alichoeleza ni sahihi kabisa kina reflect unyumbu wenu mtandaoni, na ndo watu kama kina mange kimambi wanatumia hiyo advantage kuwateka Nyumbu kibao
Jifunze ku-comment bila mihemuko na maneno ya kuzua taharuki kwa wengine ndugu yangu ( Nakuomba kwa heshima zako humu jukwaani). Akili za kinyumbu zikoje? wewe sio nyumbu na huwezi kuwa nyumbu , sasa hizo akili zao umezijuaje? Jambo moja ni wazi... Ukimkimbia mkeo au yeye akakumbia, yeyote kati yenu atakaye anza kumrushia mwenzie maneno ndiye atakaye onekana kuwa mkosaji kwa macho ya walimwengu. Wenje hakufukuzwa huko Chadema, hii habari ya kuwatupia maneno ya maudhi wenzake anaitoa wapi? Aende kimya, awaheshimu wenzake nao watamheshimu. Ukitaka heshima, toa heshima nawe utaheshima sio mihemuko ya kuwaita watu majina kama " cult, au manyumbgu"- hata hao manyumbu pia wanastahili heshima yao maana ni part ya eco system, unless hilo jambo lina tatizo kwako- Ni hivyo tu. Matusi kwa wengine ni kutangaza ujinga wake na haitamsaidia.... atachuja muda si mrefu. Katika siasa, siku zote kuwe na calculation - assets or liabilities.
 
Chadema hawana BOT hawana Serikali hawana pesa kama wewe na Hazina yenu, wenje pindi anajiunga chadema alikuwa na Akili za mageuzi hakuwa na njaa kama sasa ambayo imempelekea kujitoa fahamu zote na kuongea upumbavu dakika 45 zote
I can bet, Wenje kesho akisema amerudi Chadema. Kesho hiyohiyo mnamrudishia akili zake. Kwakweli vijana wa Chadema mjitafakari. Ingetokea nyie kuchukua nchi ndiyo mngekuwa vijana wa hovyo kupita maelezo.
 
Jifunze ku-comment bila mihemuko na maneno ya kuzua taharuki kwa wengine ndugu yangu ( Nakuomba kwa heshima zako humu jukwaani). Akili za kinyumbu zikoje? wewe sio nyumbu na huwezi kuwa nyumbu , sasa hizo akili zao umezijuaje? Jambo moja ni wazi... Ukimkimbia mkeo au yeye akakumbia, yeyote kati yenu atakaye anza kumrushia mwenzie maneno ndiye atakaye onekana kuwa mkosaji kwa macho ya walimwengu. Wenje hakufuzwa, hii habari ya kuwatupia maneno ya maudhi wenzake anaitoa wapi? Aende kimya, awaheshimu wenzake nao watamheshimu. Ukitaka heshima, toa heshima nawe utaheshima sio mihemuko ya kuwaita watu majina kama " cult, au manyumbgu"- hata hao manyumbu pia wanastahili heshima yao maana ni part ya eco system, unless hilo jambo lina tatizo kwako- Ni hivyo tu. Matusi kwa wengine ni kutangaza ujinga wake na haitamsaidia.... atachuja muda si mrefu. Katika siasa, siku zote kuwe na calculation - assets or liabilities.
Maneno mlianza kumtupia yeye kuwa kanunuliwa ana njaa, yani mnataka demokrasia ila hamuheshimu maamuzi ya watu kuwa upande mwingine tofauti na wenu.
 
Watetezi wa ccm mitandaoni kaeni mjue kuwa Wenje ni mbumbumbu zwazwa yupo ccm kwa sababu ya njaa zake hana upendo na ccm kwani yeye anajali njaa zake kuliko chochote kile
 
Maneno mlianza kumtupia yeye kuwa kanunuliwa ana njaa, yani mnataka demokrasia ila hamuheshimu maamuzi ya watu kuwa upande mwingine tofauti na wenu.
Ni wapi nimemtupia maneno, nimeuliza ni kwa nani ITV wakampa airtime bila ku- balance mambo? Ndivyo TCRA wanataka... Period
 
Ni wapi nimemtupia maneno, nimeuliza ni kwa nani ITV wakampa airtime bila ku- balance mambo? Ndivyo TCRA wanataka... Period
Kwanini asipewe airtime? Hana haki ya kujieleza? Au ndo udikteta wenyewe mnataka kuuleta kabla ya kushika madaraka?
 
I can bet, Wenje kesho akisema amerudi Chadema. Kesho hiyohiyo mnamrudishia akili zake. Kwakweli vijana wa Chadema mjitafakari. Ingetokea nyie kuchukua nchi ndiyo mngekuwa vijana wa hovyo kupita maelezo.
Wewe ndiyo ujitafakari sana kwani huko ccm wataacha kukulipa posho kwa utetezi usiokuwa na maana, Wenje akiwa chadema tayari alikuwa ni mtu asiyeaminika baada ya kumpelekea pesa Lisu nyumbani kwake akiwa na Abdul, hivyo Tambua kuwa Wenje akiwa chadema hana Akili ni zwazwa na wenje akiwa ccm ni zwazwa zaidi, kokote atapokuwa Wenje hatakaa aheshimike tena, Dunia yote inajua Wenje ni Juha zuzu wa kutupwa
 
Alimuuza swali la la kwa nini amevunja kiapo chake alichowahi kuwapatia umma wa Watanzania kuwa hatahamia upande huo?
 
Wenje akiwa chadema alikuwa mjinga jinga sana na sasa wenje yupo ccm kazidi upumbavu
 
Wenje kaichafua ccm zaidi badala ya kusafisha
 
Huyu mtu Kwa nini anapewa airtime? Hicho alichokisema kama ni kweli inafaa mamlaka zimchukulie hatua. Misikitini na makanisani na huko Kwa akina Gwajima watu wao sio cult , hata cdm hakuna watu hao. Wenje anyamaze maana kakimbia mwenyewe. Iweje leo aje atoe tuhuma nzito Hivyo bila ushahidi na mtangazaji anamuangalia tu bila hata kuhoji ushahidi uko wapi?
Wenje hana jipya watanzania walishampuuza sana ni mwanasiasa kanjanja, Mpenzi wa siasa za maji taka Taarabu umbea na kuendekeza njaa, na akitaka kujipima aje hapa jukwaani ndipo atajua watanzania wamemchoka
 
Jana nilimuona kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV. Nampongeza mwendesha kipindi. Alijitahidi sana kumuuliza maswali ya msingi likiwemo lile la kwenda nyumbani kwa Lissu na mtoto wa Rais huku wakiwa na begi la hela.

Hakika jamaa alipata wakati mgumu sama kwenye kulijibu hili swali.

Lakini pia alisema eti Chadema ya sasa haina tofauti na NGO! Hapa nadhani alichemka! Hii Chadema ya sasa ndiyo wapenda mabadiliko tunaitaka. Kuendelea kuwabembeleza watu vigeugeu na wanafiki kwa ccm, ni kupoteza muda. Mapambano yaendelee mpaka kieleweke. Na mamluki wote wasiotaka mapambano ya kuiondoa ccm kwa vitendo, waondoke ili chama kibakie na Wazalendo tu.
Kwa kifupi wenje hakuwa na point hata moja kipindi chote dakika 45 kaongea umbea majungu fitina uzushi na upumbavu mwingi
 
Kwa kifupi wenje hakuwa na point hata moja kipindi chote dakika 45 kaongea umbea majungu fitina uzushi na upumbavu mwingi
Naona muda si mrefu amepewa nafasi ya kuongea kwenye kampeni za Bosi wake mpya! Anachoongea hata hakieleweki! Nadhani dhamira yake inamsuta sana baada ya kusaliti mabadiliko na kuhamia kwa watesi wake.
 
Ndo maana wanaitwa Nyumbu uwezo wao wa kufikiri ni mdogo wakiambiwa kitu wanakubali bila kufikiri, ndo sifa ya Nyumbu ilivyo
Hv unafahamu mwenyekt wako wa chama mgombea pekee anayechuana na kivuli chake matokeo ya form 4 alipata sifuri?!.
Kwa kinywa chake mwenyewe alitumegea wanae siri....sasa jiulize nani nyumbu kati ya anayeongozwa na product ya Illboru special school (Lissu) na huyo kilaza.a wenu asiyejua masuala yoyote si kiuchumi si kisheria hadi asubiri 'kuambiwa'?!.
 
Hv unafahamu mwenyekt wako wa chama mgombea pekee anayechuana na kivuli chake matokeo ya form 4 alipata sifuri?!.
Kwa kinywa chake mwenyewe alitumegea wanae siri....sasa jiulize nani nyumbu kati ya anayeongozwa na product ya Illboru special school (Lissu) na huyo kilaza.a wenu asiyejua masuala yoyote si kiuchumi si kisheria hadi asubiri 'kuambiwa'?!.
Ingia barabarani uandamane muda wa kujaza comments mitandaoni umeisha
 
Back
Top Bottom