Kanunua Airtime kwa pesa alizonunuliwa akaongee upumbavu wake kwani Wenje ndiyo mwanasiasa Zwazwa kuliko wote DunianiHuyu Tutusa Kwa nini anapewa airtime? Hicho alichokisema kama ni kweli inafaa mamlaka zimchukulie hatua. Misikitini na makanisani na huko Kwa akina Gwajima watu wao sio cult , hata cdm hakuna watu hao. Wenje anyamaze maana kakimbia mwenyewe. Iweje leo aje atoe tuhuma nzito Hivyo bila ushahidi na mtangazaji anamuangalia tu bila hata kuhoji ushahidi uko wapi?
Ni kweli Wenje hana Akili ni zezeta zuzu mganga njaa Dalali wa Siasa, kanunuliwa na ccm kwa vicent kidogo tu sasa kajitoa fahamu anaongea upumbavu mtupu hewani bila AibuAliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria ambaye kwa sasa amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha dakika 45 ITV ameeleza namna uongozi wa CHADEMA haupendi kukosolewa wala kuambiwa ukweli
"Ukiwa nao wanakuona wewe ni mtu wa maana sana, ukitoka kwao wanakuona huna akili, yaani ukitoka kama mimi sasa hivi nimetoka wanasema sina akili…"- Ezekiel Wenje
Soma pia GE2025 - Wenje: Sikuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika
ITV wawalike chadema ili kubalance kwani kumsikiliza kilaza wenje peke yake si hakiHuyu Tutusa Kwa nini anapewa airtime? Hicho alichokisema kama ni kweli inafaa mamlaka zimchukulie hatua. Misikitini na makanisani na huko Kwa akina Gwajima watu wao sio cult , hata cdm hakuna watu hao. Wenje anyamaze maana kakimbia mwenyewe. Iweje leo aje atoe tuhuma nzito Hivyo bila ushahidi na mtangazaji anamuangalia tu bila hata kuhoji ushahidi uko wapi?
Wenje sasa ni mbea anafanya siasa za umbea majungu fitina uzushi hana uwezo wa kujenga hoja kawa mwimba Taarabu IQ yake ni ndogo sana Njaa zinamsumbua, laana ya kuwasariti chadema zitamwandama hadi anyookeKwanini asiongelee sera za chama chake kipya yeye majukwaani CDM mahojiano ni chama chake cha zamani wakati ameshatoka huko ajikite kuelezea chama chake kipya cha kale atemane nacho kiwe NGO kinamuuma kitu gani ? Maana anatuhuma nzito za kupewa mlungula toka enzi mbunge mpka hivi juzi kati
ccm wamemnunua kwa vicent kidogo kwani wenje ana njaa sana, ni kahaba wa siasa hana msimamo na Akili zake ni finyu mnoMwandishi pia angemhoji kwann alijiapiza kamwe hawezi kwenda kwa ccm akisema walimuua kakake, je vp sasa hv kaenda ccm watamfufua??
Je, huko ccm alipohamia wanapenda kukosolewa na kuambiwa ukweli?...ameeleza namna uongozi wa CHADEMA haupendi kukosolewa wala kuambiwa ukweli
Ushahidi upi unataka sasa wakati kila kitu kipo wazi kuwa mnaakili za Kinyumbu? Sahivi Heche anaweza kuja kusema Kikwete kajenga Mansion huko Jupiter na wote mkaamini bila kujishughulisha kufikiri, alichoeleza ni sahihi kabisa kina reflect unyumbu wenu mtandaoni, na ndo watu kama kina mange kimambi wanatumia hiyo advantage kuwateka Nyumbu kibaoHuyu Tutusa Kwa nini anapewa airtime? Hicho alichokisema kama ni kweli inafaa mamlaka zimchukulie hatua. Misikitini na makanisani na huko Kwa akina Gwajima watu wao sio cult , hata cdm hakuna watu hao. Wenje anyamaze maana kakimbia mwenyewe. Iweje leo aje atoe tuhuma nzito Hivyo bila ushahidi na mtangazaji anamuangalia tu bila hata kuhoji ushahidi uko wapi?
Na hiki kinasadifu alichokisema. Akiwa Chadema ni genius, akihamia CCM anakuwa zwazwa. Daah, vijana wa Chadema ni janga kwa Taifa.Kanunua Airtime kwa pesa alizonunuliwa akaongee upumbavu wake kwani Wenje ndiyo mwanasiasa Zwazwa kuliko wote Duniani
Na alipokuja Chadema akitokea CCM mlimnunua kwa sh ngapi?ccm wamemnunua kwa vicent kidogo kwani wenje ana njaa sana, ni kahaba wa siasa hana msimamo na Akili zake ni finyu mno
Chadema hawana BOT hawana Serikali hawana pesa kama wewe na Hazina yenu, wenje pindi anajiunga chadema alikuwa na Akili za mageuzi hakuwa na njaa kama sasa ambayo imempelekea kujitoa fahamu zote na kuongea upumbavu dakika 45 zoteNa alipokuja Chadema akitokea CCM mlimnunua kwa sh ngapi?
Mbele ya umma ulikiri kuomba msaada wa ewezeshaji kwa Abdul, hicho ndiyo kilienda na akili yako yote uliyokuwa nayo na hiyo haijalishi kama ulikuwa na akili kiduchu au at least ulikuwa nayo ya kuweza kutofautisha mema na mbaya.Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria ambaye kwa sasa amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha dakika 45 ITV ameeleza namna uongozi wa CHADEMA haupendi kukosolewa wala kuambiwa ukweli
"Ukiwa nao wanakuona wewe ni mtu wa maana sana, ukitoka kwao wanakuona huna akili, yaani ukitoka kama mimi sasa hivi nimetoka wanasema sina akili…"- Ezekiel Wenje
Soma pia GE2025 - Wenje: Sikuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika