Wenye akili na wazalendo walishajua kuwa Tunahitaji sana kupata Rais Mwingine kama Hayati Magufuli

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Leo tarehe 17/03 ni siku ambayo hayati JPM alitutoka 2021.

Katika pitapita leo nimekutana na kijana mmoja kuniambia sisi ambao hatuna akili na sio wazalendo ambao wengi wetu tulikosa virutubisho utotoni na kupata udumavu hatuoni mchango wa hayati Magufuli.

Hiyo inapelekea kumsema vibaya na kutoona mazuri yake kipindi cha uhai wake lakini wao wenye akili na uzalendo wanamkumbuka sana.

Lakini pia wengi wetu hatuna uzalendo.

Hivyo tunampomkumbuka hayati Magufuli tuyatafakari haya pia.
Your browser is not able to display this video.
 
Chawa mmoja yupo hapa jukwaani jf hata samia amemkana mara kibao!
 
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Huyo shetani labda we na mkeo ndiyo mnamhitaji, ila mnaweza kumfuata aliko sahivi. Mtu mshamba mbaguzi km yule never never never again. Haitakaa irudie tena, ht JK anajutia uamuzi wake wakati ule
 
Nchi yoyote ili ipige hatua inahitaji Rais anaeisimamia Katiba na kuilinda.

PambanaZaidi/CottonandMore
 
Watanzania walilia na kuomboleza kwa uchungu toka moyoni
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu nae shida alitaka kufanya kama vile nchi ni mali yafamilia yake period,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…