Wenye akili na wazalendo walishajua kuwa Tunahitaji sana kupata Rais Mwingine kama Hayati Magufuli

Wenye akili na wazalendo walishajua kuwa Tunahitaji sana kupata Rais Mwingine kama Hayati Magufuli

Hii ya kukosa mlo kamili utotoni inawezakuwa sababu ya msingi zaidi.

Lakini naongezea nyingine ya kiimani,kuchungulia wazazi wakiwa ktk tendo la ndoa pia ni sababu moja wapo.
 
Huyo shetani labda we na mkeo ndiyo mnamhitaji, ila mnaweza kumfuata aliko sahivi. Mtu mshamba mbaguzi km yule never never never again. Haitakaa irudie tena, ht JK anajutia uamuzi wake wakati ule
Kwa akili zako kabisa unaamini JK ndio alimchagua JPM!
 
Huyo shetani labda we na mkeo ndiyo mnamhitaji, ila mnaweza kumfuata aliko sahivi. Mtu mshamba mbaguzi km yule never never never again. Haitakaa irudie tena, ht JK anajutia uamuzi wake wakati ule
Sisi wengine tunampenda sana
 
Mkumbuke wewe na mme wako sisi hatuwezi kumkumbuka kiongozi katili na muuaji kama Magufuli,aendelee kuungua huko alipo motoni, amina
 
MH MAGUFULI ALIKUA JEMBE SANA maamuzi asubuhi matokeo jioni, kipindi cha magufuli wapinzani walitakiwa wajifunze kuishi kwa akili hauwezi ukaishi msimu wa MVUA kama KIANGAZI, mambo ya nyakati hata kwenye Biblia yapo, ndio walikuepo watekaji lakini waliokua wanajua wanaweza kutekwa ilikua ni lazima ujifunze kujificha, the art of the war, The art of war teaches us to rely not on the likeli- hood of the enemy's not coming, but on our own readi- ness to receive him; SUN TZU, ndicho kinachotea Russia ndicho kinachotokea rwanda, ndicho kinachotokea Uganda, BINAFSI SINA BAYA NA MAGUFULI HATA NINGEKUA MPINZANI NINGEJIFUNZA KUA KUNA WAKATI HAKUNA UHURU WA MANYANI NA NINGEBADILISHA MBINU NAKWENDA NAE SAWA kwakweli kipindi cha STONE MAGUFULI, WAPINZANI WALIKUA WANA UEZO WA KUPANDIKIZA KIZAZI CHA KUIBOMOA CCM KWA NDANI TATIZO NI KWAMBA HAWAKUTAKA KUTUMIA CHANCE NA KUBADILIKA OVER, binafsi nitakukumbuka MH JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI ulitoa amri hospitali zikajengwa nchi nzima ulitoa amri stand za kisasa zikajengwa nchi nzima ulitoa amri masoko ya kisasa yakajengwa nchi nzima, baada ya kuondoka baba wake zetu wanachezewa na mafisadi barabarani, jiwe ulitukumbusha kufanya kazi kwa bidii tuliolelewa na single mama, ulituambia asiefanya kazi na asile, MWISHO MAGUFULI HAKUCHUKUA UHURU WA MTU ILIKUA NI MISIMAMO NA FALSAFA ZAKE TU, UKWELI NI KWAMBA SISI KAMA NCHI HATUKO HURU KUTOKANA NA MIFUMO YA KIDUNIA MIFUMO YA KIFEDHA KISIASA MIFUMO YA CHAKULA MIFUMO YA ELIMU, YOTE HATUKO HURU, KAMA KWELI SISI NI VIDUME TUPAMBANE NA MIFUMO HIYO HUKO NDIO HATUKO HURU, YAANI KUMINYWA KIDOGO NA JIWE NDIO IWE AMECHUKUA UHURU WETU, WAKATI HATUNA UHURU KWENYE VITU VINGINE VYOTE MAGUFULI NDAGA FIJO BABA UMEACHA ALAMA NINAKUKUMBUKA.
 
Mkumbuke wewe na mme wako sisi hatuwezi kumkumbuka kiongozi katili na muuaji kama Magufuli,aendelee kuingia huko alipo motoni, amina
Sisi tunamkumbuka nyie vyeti feki hamuwezi ona mchango wowote
 
Back
Top Bottom