Wenye akili timamu tujadiri hili, yanayoendea simba na yanga ni utani au chuki?

wenye akili hatushabikii hizo timu mkuu
 
Hawa utopolooo hawawezi kukuelewaaa kamweeeh. Tuwapuuze tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Takadini ndo bingwa wa kukashifu na kuchamba wenzie madhaifu na mapungufu yao, ila akisemwa yeye watu mnaibuka ooooh vile na hivi, kwan Albino Dunia nzima yuko yeye pekee ake???

Atupisheee kuleeeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akuna mahali Haji alikaa pakawa salama tangia akiwa madrasa kwa maalim Abasy,Simba mpaka alipokua CCM na sasa kakiwasha kwenye soka la bongo na bado atakiwasha zaidi ni mtu wa fitna na maneno ya uzushi na uongo.
 
Unamuonea bure mleta mada.Yeye peke yake hawezi kuwajua wote wanaopost upuuzi,yeye kamtaja Gentamycene,wewe taja mwingine na kile yule ataje aliyeona .Hapo tatizo litaisha.Kuna watu tuliwambia mapema kwamba Haji anakosea wakapuuza kwakuwa alikuwa upande wao Leo ndo wamekwazika na wanamuombea kila janga Haji.Hata huyu Ahmed Ally naona naye anatoka nje ya mstari,inafaa mtu asifie timu yake bila kubeza nyingine halafu tukutane uwanjani tupeane mkono tushindane.Kwa swala la Haji na Karia haki haijatendeka.Haji kama kweli alikosea angeadhibiwa kulingana na kosa lake,kwa kosa lile na adhabu ile,je angerusha ngumi ingekuwaje?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Huyo mzungu pori ( kitimoto) ndo analeta fujo kwenye michezo,ye ni kejeli ,uhasama mda wote.
 
Namna ya kifo cha wengi ni harusi.Unanifatafata Sana,sikuogopi huna cha kunifanya ,naweza kukufanya lolote.Je hii katika SOKA ina hatari gani? Kupiga kampeni dhidi ya Karia akaondoka tff ina ubaya gani? Kama Haji alimaanisha kugombea na kumshinda Karia, Ina ubaya gani? Kama ilitafsiriwa kijinai,je,kumfungia Haji ndo Karia atakuwa salama? Kama vipi liende kwenye mahakama za kiraia kama lile Barbara.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Hebu tuambie wewe hiyo adhabu ya haki unayotaka wewe kulingana na kosa lake.
 
Akuna mahali Haji alikaa pakawa salama tangia akiwa madrasa kwa maalim Abasy,Simba mpaka alipokua CCM na sasa kakiwasha kwenye soka la bongo na bado atakiwasha zaidi ni mtu wa fitna na maneno ya uzushi na uongo.
Kwan unadhani hawajui?? Wanajua sanaa wanajitoa ufahamuuu.
 
Wewe Manara ndio chanzo cha kupandikiza chuki kati ya timu hizi mbili.

Bahati mbaya huko ulikohamia kumejaa mashabiki wasio na akili na kazi yao kudhani wanaonewa kila siku.

Sakho kupata tuzo ya goli bora la CAF tayari mmeshaanza kulalamika eti mayele ana goli kama hilo!

Manara unatafuta huruma lakini kumbuka ulianza upuuzi huu.Umekuwa ukimtukana Mo kwa kutumwa na matajiri wako,ila Mo hajakujibu.
Sisi mashabiki tunachukia sana huu ushenzi wa kumwandama mtu ambaye hata hakujibu.Sasa unapoona watu wanakushambulia ujue mbegu uliipanda mwenyewe
 
huyo zer'uze'ru akapimwe akili,haiwezekani kila siku niyeye tu anagombana na watu,
Tatizo ana kibri na ujuaji mwingi
 
Usipate presha Bado wapo kwenye utani fikra zako TU ndio tatizo .. ule Bado utani sema wa level ya juu kidogo.
#UTANI UENDELEE😂
 
Manara alipohama simba kwa kashfa na dharau hukuanzisha uzi humu. Leo panauma siyo.

Ndo hivo, endeleeni kumshangilia manara wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…