Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Kwanini umemtolea mfano Genta wakati wapo wengi ?Unafahamu maana ya bias?
Jadiri hoja suala la bias linaingiajea hapo? Unataka niorodheshe majina kwani hoja yangu ni kujadiri watu? Genta ni mfano,au huekewi neno kwa mfano?
We kenge,Nada ndo nini?Umesoma vizuri Nada au unaropoka tu?
Unawezaje kumtetea sokwe mwekundu,yeye ndio kaleta uadui kati ya simba na yanga,hana adabu yule sokwe,ana maneno machafu sana yule sokwe ,kakosa malezi.Utani wa simba na yanga ulijengwa kwenye misingi ya ushindani toka huko nyuma hasa uwezo wa uwanjani.
Leo utani umetoka kwenye misingi yake badala yake imekuwa mashambulizi ya mtu na mtu au kundi na mtu.
Imefika mahali chuki imekuwa kubwa hata huku mitaani.
Imefika mahali timu fulani ikikutwa na kadhia fulani au kiongozi wa timu fulani,watu wanatukanana hovyo.
Vijana wanawatukana wazee utadhani kwao hakuna wazee.
HALI HII IKIACHWA IENDELEE HUKO MBELE ITAKUWA NA MADHARA MAKUBWA KWA TAIFA.
Leo hii Haji Manara anatukanwa pande zote,mitandaoni mpk mitaani.
Je huu ni utani?
Tunajua tff imeoza haitamaniki na ndiyo chanzo cha matatizo ya mpira wetu,haiwezi kukemea timu yoyote.
JE WIZARA YENYE DHAMANA NA SOKA LETU HAIONI HAYA?
weusi wenzetu huko ulaya wakiitwa nyani sisi tunalalamika,lakini Mara kadhaa tumeona mamlaka zao zikitoa adhabu kwa timu husika ili mashabiki zao wasiendelee kubagua rangi za binaadam wenzao.
Sakata la manara kufungia,anakula matusi ya nguoni,ana baguliwa na kuitwa majina mengi mabaya kutokana na ulemavu wake,je huu ni utani wa mpira?
Serikali ipo tu!
Moja ya sheria za jamii forum ni kutomshambulia mtu bali kumjibu hoja.
LEO WAPENZI WA SIMBA WANAMKASHIFU HAJI NA KUMTUSI VIBAYA VIBAYA, MAADIMIN MPO KIMYA TU WALA HAMCHUKUI HATUA!!!!
Mfano huyu gentermycine,kwa siku anaanzisha nyuzi nyingi za kumkashifu na kumtusi Haji,lakini kesho na kesho kutwa utamkuta yupo tu humu anatembea na nyuzi zake.
MAADIMIN
Mmelala,macho hayaoni,fahamu hazifanyi kazi au?
Mpk leo hakuna tusi linalothibitishwa waziwazi kuwa Haji kamtukana Karia.
Wasemaji wanamung'unya maneno tu,wanashindwa kuyakaza,lakini wanasimba hawaoni haya wanamchafua haji,kisa alitoka kwao.
HUU NDIYO MPIRA WETU ULIPOFIKIA!!
Haji anafamilia na wazazi pia,mmejiuliza wanajisikiaje mnapomkashifu kwa kumwita sokwe mwekundu? Admin mnawaacha tu! Serikali inaacha tu!
Sipendi kufanana na wewe,nikikumbiza nitaonekana kichaa badala ya wewe hongeraWe kenge,Nada ndo nini?
Mimi nimekuelewa na ndo maana nikasema tatizo lipo. Na nikatoa mfano mmoja, kama wewe ulivyotoa mfano mmoja. Au ulitaka niseme Simba pekee ndo inalea chuki hapo utaona niko sahihi?
Alianza hayo akiwa timu gani?Unawezaje kumtetea sokwe mwekundu,yeye ndio kaleta uadui kati ya simba na yanga,hana adabu yule sokwe,ana maneno machafu sana yule sokwe ,kakosa malezi.
Mimi ni yanga lakini i hate him
Ni albino,hili la sokwe mwekundu ni sawa kwako wakati yule ni binaadam? Hoja yangu ipo hapoLugha iliyotumika hapo sio wingi ni dhihaka
Mimi na wewe wote tunajua mwakalebela hana kilo 800
Ukilipitisha hilo liwe halali, mtu mwingine ataweza sema race yake na ukakosa justification ya kumtia hatiani kwasababu naye atakuwa na hoja kama yako akikuuliza kwani uongo sio albino
Haya mbana pua naye vipi?
Hata angeitwa chizi nisingependaNi albino,hili la sokwe mwekundu ni sawa kwako wakati yule ni binaadam? Hoja yangu ipo hapo
Ndiyo maana kama umesoma nakuekewa nimesema kuwa utani ulikuwa wa mpira lakini sasa imekuwa uadui.Hata angeitwa chizi nisingependa
Vipi we kuambiwa mashabiki wa Yanga hawana akili isipokuwa kikwete na baba yake hiyo unaona ni sawa?
Pengine hadi wazazi wako nao wanashabikia Yanga, imekaaje hiyo kuona naye wamehusishwa na tusi hilo?
Kwa kweli Haji anakera na kuudhi watu wengi sana anamdomo mchafu usio na staha mm binafsi naona adhabu aliyopewa ni ndogo sana ilipasa apigwe miaka 5 ndio angetia akili hizo mil 20 watamchangia wanaomtuma kutukanamanara ndo kitimoto maalbino siyo kitimoto usininukuu vibaya
Mkono wenye shombo haufukuzi pakaNdiyo maana kama umesoma nakuekewa nimesema kuwa utani ulikuwa wa mpira lakini sasa imekuwa uadui.
Kutukana na kukashifiana kumetawala. Pamoja na haji kutukana lakini hakugusa ulemavu wa yeyote na kumfananisha na mnyama. Kusema Haji anafamilia, sikumaanisha suala la kipato. Bali wazazi kusikia mtoto wao kuitwa sokwe mwekundu wanajisikiaje?
Ni vyema kusoma andiko la kulielewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] matusi si mnaanzisha wenyewee, mie namaliziaa.Umekua na matusi sana alf una beef gani na Haji?
Kabisaaaaaa.Mtoa mada tusipangiane, dawa ya moto ni moto.
Kweli jf imebeba mabuyu tupuKuna pimbi anaitwa demigod kwa siku anatundika nyuzi zaidi ya kumi kuichafua Simba ,au huoni hili ewe mwana utopolo
HakikaTena zungu pori kokoo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]