Wenye akili timamu tujadiri hili, yanayoendea simba na yanga ni utani au chuki?

Wenye akili timamu tujadiri hili, yanayoendea simba na yanga ni utani au chuki?

Utani wa simba na yanga ulijengwa kwenye misingi ya ushindani toka huko nyuma hasa uwezo wa uwanjani.

Leo utani umetoka kwenye misingi yake badala yake imekuwa mashambulizi ya mtu na mtu au kundi na mtu.
Imefika mahali chuki imekuwa kubwa hata huku mitaani.

Imefika mahali timu fulani ikikutwa na kadhia fulani au kiongozi wa timu fulani,watu wanatukanana hovyo.
Vijana wanawatukana wazee utadhani kwao hakuna wazee.

HALI HII IKIACHWA IENDELEE HUKO MBELE ITAKUWA NA MADHARA MAKUBWA KWA TAIFA.
Leo hii Haji Manara anatukanwa pande zote,mitandaoni mpk mitaani.
Je huu ni utani?

Tunajua tff imeoza haitamaniki na ndiyo chanzo cha matatizo ya mpira wetu,haiwezi kukemea timu yoyote.

JE WIZARA YENYE DHAMANA NA SOKA LETU HAIONI HAYA?

weusi wenzetu huko ulaya wakiitwa nyani sisi tunalalamika,lakini Mara kadhaa tumeona mamlaka zao zikitoa adhabu kwa timu husika ili mashabiki zao wasiendelee kubagua rangi za binaadam wenzao.

Sakata la manara kufungia,anakula matusi ya nguoni,ana baguliwa na kuitwa majina mengi mabaya kutokana na ulemavu wake,je huu ni utani wa mpira?

Serikali ipo tu!
Moja ya sheria za jamii forum ni kutomshambulia mtu bali kumjibu hoja.

LEO WAPENZI WA SIMBA WANAMKASHIFU HAJI NA KUMTUSI VIBAYA VIBAYA, MAADIMIN MPO KIMYA TU WALA HAMCHUKUI HATUA!!!!

Mfano huyu gentermycine,kwa siku anaanzisha nyuzi nyingi za kumkashifu na kumtusi Haji,lakini kesho na kesho kutwa utamkuta yupo tu humu anatembea na nyuzi zake.
MAADIMIN
Mmelala,macho hayaoni,fahamu hazifanyi kazi au?
Mpk leo hakuna tusi linalothibitishwa waziwazi kuwa Haji kamtukana Karia.

Wasemaji wanamung'unya maneno tu,wanashindwa kuyakaza,lakini wanasimba hawaoni haya wanamchafua haji,kisa alitoka kwao.
HUU NDIYO MPIRA WETU ULIPOFIKIA!!

Haji anafamilia na wazazi pia,mmejiuliza wanajisikiaje mnapomkashifu kwa kumwita sokwe mwekundu? Admin mnawaacha tu! Serikali inaacha tu!
Unawezaje kumtetea sokwe mwekundu,yeye ndio kaleta uadui kati ya simba na yanga,hana adabu yule sokwe,ana maneno machafu sana yule sokwe ,kakosa malezi.
Mimi ni yanga lakini i hate him
 
anawaharibia sope wenzake hana weledi kuna maneno ya kutamka ila vitisho sio vizur
 
We kenge,Nada ndo nini?

Mimi nimekuelewa na ndo maana nikasema tatizo lipo. Na nikatoa mfano mmoja, kama wewe ulivyotoa mfano mmoja. Au ulitaka niseme Simba pekee ndo inalea chuki hapo utaona niko sahihi?
Sipendi kufanana na wewe,nikikumbiza nitaonekana kichaa badala ya wewe hongera
 
Unawezaje kumtetea sokwe mwekundu,yeye ndio kaleta uadui kati ya simba na yanga,hana adabu yule sokwe,ana maneno machafu sana yule sokwe ,kakosa malezi.
Mimi ni yanga lakini i hate him
Alianza hayo akiwa timu gani?
Mbona mlikuwa mkimshangilia badala ya kumwonya? Leo mnaona anakosea kwakuwa kawageuzia nja ya mkuki!
 
Lugha iliyotumika hapo sio wingi ni dhihaka

Mimi na wewe wote tunajua mwakalebela hana kilo 800

Ukilipitisha hilo liwe halali, mtu mwingine ataweza sema race yake na ukakosa justification ya kumtia hatiani kwasababu naye atakuwa na hoja kama yako akikuuliza kwani uongo sio albino

Haya mbana pua naye vipi?
Ni albino,hili la sokwe mwekundu ni sawa kwako wakati yule ni binaadam? Hoja yangu ipo hapo
 
Ni albino,hili la sokwe mwekundu ni sawa kwako wakati yule ni binaadam? Hoja yangu ipo hapo
Hata angeitwa chizi nisingependa

Vipi we kuambiwa mashabiki wa Yanga hawana akili isipokuwa kikwete na baba yake hiyo unaona ni sawa?

Pengine hadi wazazi wako nao wanashabikia Yanga, imekaaje hiyo kuona naye wamehusishwa na tusi hilo?
 
Hata angeitwa chizi nisingependa

Vipi we kuambiwa mashabiki wa Yanga hawana akili isipokuwa kikwete na baba yake hiyo unaona ni sawa?

Pengine hadi wazazi wako nao wanashabikia Yanga, imekaaje hiyo kuona naye wamehusishwa na tusi hilo?
Ndiyo maana kama umesoma nakuekewa nimesema kuwa utani ulikuwa wa mpira lakini sasa imekuwa uadui.
Kutukana na kukashifiana kumetawala. Pamoja na haji kutukana lakini hakugusa ulemavu wa yeyote na kumfananisha na mnyama. Kusema Haji anafamilia, sikumaanisha suala la kipato. Bali wazazi kusikia mtoto wao kuitwa sokwe mwekundu wanajisikiaje?

Ni vyema kusoma andiko la kulielewa
 
Kuna pimbi anaitwa demigod kwa siku anatundika nyuzi zaidi ya kumi kuichafua Simba ,au huoni hili ewe mwana utopolo
 
manara ndo kitimoto maalbino siyo kitimoto usininukuu vibaya
Kwa kweli Haji anakera na kuudhi watu wengi sana anamdomo mchafu usio na staha mm binafsi naona adhabu aliyopewa ni ndogo sana ilipasa apigwe miaka 5 ndio angetia akili hizo mil 20 watamchangia wanaomtuma kutukana
 
Ndiyo maana kama umesoma nakuekewa nimesema kuwa utani ulikuwa wa mpira lakini sasa imekuwa uadui.
Kutukana na kukashifiana kumetawala. Pamoja na haji kutukana lakini hakugusa ulemavu wa yeyote na kumfananisha na mnyama. Kusema Haji anafamilia, sikumaanisha suala la kipato. Bali wazazi kusikia mtoto wao kuitwa sokwe mwekundu wanajisikiaje?

Ni vyema kusoma andiko la kulielewa
Mkono wenye shombo haufukuzi paka

Tusi ni tusi mzee huwezi ukasema tusi fulani sio tusi kwasababu fulani fulani ambazo kwako wewe huzipi uzito

Vigezo unavyotumia wewe ku justify kuwa sio tusi kumbuka hata hao wanaotukana matusi unayo yachukia wanaweza kutumia criteria hizo hizo kusema ni matusi ya kawaida tu.

Nakupa mfano kuna siku ilikuwa inacheza Yanga na Namungo. Siku hiyo Yanga walipata penati wakati mpigaji anapiga penati kulikuwa na wachezaji kadhaa wa Yanga waliokuwepo ndani ya box

Shafii alivyo post kukosoa jambo hilo alitumia lugha tata, wachezaji waliozidi kwenye box aliwaita "kikundi cha wahuni"

1658601435951.png


Manara alikuwa mtu wa kwanza kulalamika akidai Shafii katumia lugha chafu huku akiwaalika mashabiki wa Yanga kuwa Shafii Dauda ana chuki na Yanga.

Sasa kama tu lile neno la kikundi cha wahuni lilikuwa na tafsiri ya tusi na sio utani kwanini useme swala la kilo 800 ni utani?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
huyo unayemtetea yeye ndo kinara wa kejeli, kashfa na dharau kwa wenziye...

hlf akirudishiwa matusi yake mnasema anaonewa kwa kuwa ni mzungu pori...

mi naona atukanwe tu mpk ajifunze kuheshimu wengine
 
Umekua na matusi sana alf una beef gani na Haji?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] matusi si mnaanzisha wenyewee, mie namaliziaa.
Wee hebu nitake radhi plz, yaan Takadini awe na bifu na mie??
Seriously??

Hapanaaaaa!!!!
 
Hamna chuki yoyote ila tatizo lipo kwa watanzania, yaan mmesahau mnavolea na mnavolelewa kwenu halafu mnataka kuishi kwenye matamanio mema. Mi sijaona chuki yoyote ila watu wanafatilia hata DOA la tope kwenye jezi ya mchezaji. Hebu punguzeni kufata mambo madogo. Zama zimebadilika.
 
Back
Top Bottom