dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Ahahahahahah ila mkuu nimeskia wamechukuwa dola milioni tano sawa na billion 5 kwenye AFLKuna mazwazwa na wasio na akili walichekelea mno walipoona mama kapandisha dau la milioni kumi kwa kila goli Kama motisha na wengine wakapiga hesabu et "Kama tukiwafunga waarabu goli 7 tunapata milioni 70"
Wengine wakadhani kuwa mama kalewa/kajisahau kumbe wenye akili nyingi Kama NALIA NGWENA tumeshaelewa kuwa mama ni akili kubwa "she is a genius" and she knows everything about football.
Anajua kabisa Simba hawawezi na hawana uwezo wa kuchukua hata mia yake mbovu , maana hawawezi kuifunga Al ahly.
Endeleeni kuzipigia hesabu pesa ambazo hazipo mkononi mwenu na njia ya kuzichukua ni ngumu sana.
Mkuu ukweli usemwe makolo wamepiga pesa ndefu balaa