Wenye akili tu ndio tumeelewa ni kwanini Rais Samia kapandisha dau kwa kila goli atalipa milioni kumi

Wenye akili tu ndio tumeelewa ni kwanini Rais Samia kapandisha dau kwa kila goli atalipa milioni kumi

Kuna mazwazwa na wasio na akili walichekelea mno walipoona mama kapandisha dau la milioni kumi kwa kila goli Kama motisha na wengine wakapiga hesabu et "Kama tukiwafunga waarabu goli 7 tunapata milioni 70"

Wengine wakadhani kuwa mama kalewa/kajisahau kumbe wenye akili nyingi Kama NALIA NGWENA tumeshaelewa kuwa mama ni akili kubwa "she is a genius" and she knows everything about football.

Anajua kabisa Simba hawawezi na hawana uwezo wa kuchukua hata mia yake mbovu , maana hawawezi kuifunga Al ahly.

Endeleeni kuzipigia hesabu pesa ambazo hazipo mkononi mwenu na njia ya kuzichukua ni ngumu sana.
Ahahahahahah ila mkuu nimeskia wamechukuwa dola milioni tano sawa na billion 5 kwenye AFL

Mkuu ukweli usemwe makolo wamepiga pesa ndefu balaa
 
Back
Top Bottom