Wenye akili tu ndio tumeelewa ni kwanini Rais Samia kapandisha dau kwa kila goli atalipa milioni kumi

Mpira wa Tanzania umepaa kwenye awamu ya sita. Uwekezaji bora na serikali kuimarisha juhudi za kuimarisha soka nchini zinazaa matunda.
 
Nafasi ya Simba kujulikana Dunia nzima kuwa ni timu ya mizuka, timu mbovu isiyo na fomesheni wala possession, timu inayosindikiza madume ya mamba super cup ni Kesho!

Nawatakia Al Ahly ushindi wa 5G Kesho inshallah mji utulie kimyaaaa!!

Naamini kesho kwa Mkapa mpaka half time Aggr Al Ahly 3 - Simba 0!

Mi nitakaa zangu pale gizani kama kawaida Buza kwa Mpalanger nitawasubiri Makolokwinyo mje kushtaki baada ya kukandwa 5G!

Kesho Hatutaki mshangao, lawama wala kumuangushia Robertinho jumba bovu! Mkishakandwa wote tuseme hapo ndo uwezo wenu ulipoishia!

Kweli Simba wote Mbumbumbu mwenye akili ni mmoja tu Rage, yaani hata hujui kuwa Simba imetumika kama Guinea Pig, timu ya kufanyiwa majaribio na kufanya amsha amsha za mashindano mapya ambayo huko mbele yatahusisha timu 24 na Yanga ikiwemo! Kweli mashabiki wa kolowizard hamna kitu kichwani!

Simba imetumika Kwa vile Ina mashabiki wengi hamnazo na lengo ni kuipandisha hadhi Al Ahly kwa kuikanda Simba inayojaza uwanja!

Wewe itakuwa lugha ya Malkia imekupita kushoto! Kuna jamaa kwenye kipindi Azam nadhani ni Afisa wa CAF ametoa ufafanuzi mrefu sana in English kuhusu kuanzishwa hayo mashindano na huko mbele yatakuwaje!!

images (2) (1) (1).jpeg
5
 
Mtafute NALIA NGWENA msaidiane kulia ngwena ngwena!! Simba imejitambulisha dunia ni kuwa ni timu bora sana!! Imetawala na kumiliki zaidi mpira vipindi vyote viwili!! ulie tu ngwena ngwena!!
 
Kuna mazwazwa na wasio na akili walichekelea mno walipoona mama kapandisha dau la milioni kumi kwa kila goli Kama motisha na wengine wakapiga hesabu et "Kama tukiwafunga waarabu goli 7 tunapata milioni 70"

Wengine wakadhani kuwa mama kalewa/kajisahau kumbe wenye akili nyingi Kama NALIA NGWENA tumeshaelewa kuwa mama ni akili kubwa "she is a genius" and she knows everything about football.

Anajua kabisa Simba hawawezi na hawana uwezo wa kuchukua hata mia yake mbovu , maana hawawezi kuifunga Al ahly.

Endeleeni kuzipigia hesabu pesa ambazo hazipo mkononi mwenu na njia ya kuzichukua ni ngumu sana.
Sina shaka kuwa ww Ni moja ya memba wenye akili ndogo/finyu mno.

Nimeendelea kujiridhisha!
 
Kuna mazwazwa na wasio na akili walichekelea mno walipoona mama kapandisha dau la milioni kumi kwa kila goli Kama motisha na wengine wakapiga hesabu et "Kama tukiwafunga waarabu goli 7 tunapata milioni 70"

Wengine wakadhani kuwa mama kalewa/kajisahau kumbe wenye akili nyingi Kama NALIA NGWENA tumeshaelewa kuwa mama ni akili kubwa "she is a genius" and she knows everything about football.

Anajua kabisa Simba hawawezi na hawana uwezo wa kuchukua hata mia yake mbovu , maana hawawezi kuifunga Al ahly.

Endeleeni kuzipigia hesabu pesa ambazo hazipo mkononi mwenu na njia ya kuzichukua ni ngumu sana.
 
Hela za kuchezea zipo za kujenga shule vijijini hakuna.
Hio ten unanunua bati ngapi kuezeeka shule kuliko kupoteza pasipo tija huko
 
Hela za kuchezea zipo za kujenga reli na kununua mabe hewa mapya Hakuna!! Tuna Rais wa ajabu sana.
 
Nafasi ya Simba kujulikana Dunia nzima kuwa ni timu ya mizuka, timu mbovu isiyo na fomesheni wala possession, timu inayosindikiza madume ya mamba super cup ni Kesho!

Nawatakia Al Ahly ushindi wa 5G Kesho inshallah mji utulie kimyaaaa!!

Naamini kesho kwa Mkapa mpaka half time Aggr Al Ahly 3 - Simba 0!

Mi nitakaa zangu pale gizani kama kawaida Buza kwa Mpalanger nitawasubiri Makolokwinyo mje kushtaki baada ya kukandwa 5G!

Kesho Hatutaki mshangao, lawama wala kumuangushia Robertinho jumba bovu! Mkishakandwa wote tuseme hapo ndo uwezo wenu ulipoishia!

Kweli Simba wote Mbumbumbu mwenye akili ni mmoja tu Rage, yaani hata hujui kuwa Simba imetumika kama Guinea Pig, timu ya kufanyiwa majaribio na kufanya amsha amsha za mashindano mapya ambayo huko mbele yatahusisha timu 24 na Yanga ikiwemo! Kweli mashabiki wa kolowizard hamna kitu kichwani!

Simba imetumika Kwa vile Ina mashabiki wengi hamnazo na lengo ni kuipandisha hadhi Al Ahly kwa kuikanda Simba inayojaza uwanja!

Wewe itakuwa lugha ya Malkia imekupita kushoto! Kuna jamaa kwenye kipindi Azam nadhani ni Afisa wa CAF ametoa ufafanuzi mrefu sana in English kuhusu kuanzishwa hayo mashindano na huko mbele yatakuwaje!!
Kiko wapi,5G ziko wapi,,,😂😅
Uoni aibu Utopolo,,,😂😅
 
Kiko wapi,5G ziko wapi,,,😂😅
Uoni aibu Utopolo,,,😂😅
Refa kaibeba Simba ( penati aliyopeta) na uchawi live maana Al Ahly wamekosa goli mbili za wazi , ukijumlisha na goli 2 walizofunga unapata 5G!

Kelele hamna kabisa mji uko kimyaaaaaa! Mlima ni mrefu magoli mawili ya ugenini ya Ahly ni mtaji mkubwa kule Misri Simba itapigwa kama Ngoma!
 
Back
Top Bottom