Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
5G kama hizi👇,si ndio?😂😅Refa kaibeba Simba ( penati aliyopeta) na uchawi live maana Al Ahly wamekosa goli mbili za wazi , ukijumlisha na goli 2 walizofunga unapata 5G!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5G kama hizi👇,si ndio?😂😅Refa kaibeba Simba ( penati aliyopeta) na uchawi live maana Al Ahly wamekosa goli mbili za wazi , ukijumlisha na goli 2 walizofunga unapata 5G!
Nalia Ngwena njoo utetee hoja yako hii hapa kuwa una akili nyingi zilizokuonesha kuwa simba hatachukua hata sh mia ya mama!! Tokea hapa ujitetee acha kulia ngwena!! ngwena!! ngwena!!kumbe wenye akili nyingi Kama @NALIA NGWENA tumeshaelewa kuwa mama ni akili kubwa "she is a genius" and she knows everything about football.
Anajua kabisa Simba hawawezi na hawana uwezo wa kuchukua hata mia yake mbovu , maana hawawezi kuifunga Al ahly.
Nal;ia Ngwena hapa hatii mguu!!! Labda umvute kwa greda!!5G kama hizi👇,si ndio?😂😅
View attachment 2787677
Kasusa uzi wake😂😅Nal;ia Ngwena hapa hatii mguu!!! Labda umvute kwa greda!!
Msigwa amehojiwa na Mpenja TV baada ya mechi kasema pesa inatoka kama matokeo ni ya ushindi tu sio draw ama kupoteza, I stand to be corrected!NALIA NGWENA analia kweli!! atalazimika kuukimbia uzi wake mwenyewe!! Inabidi tu akubali simba imebeba milioni 20!! (20,000,000/=)!
Anajua kabisa Simba hawawezi na hawana uwezo wa kuchukua hata mia yake mbovu , maana hawawezi kuifunga Al ahly.
NALIA NGWENA analia kweli!! atalazimika kuukimbia uzi wake mwenyewe!! Inabidi tu akubali simba imebeba milioni 20!! (20,000,000/=)!
NALIA NGWENA punguza ....
JAMII FORUM IMEVAMIWA NA WAPUMBAVU.
GENALA.
1 GE...
2 NA....
3. LA.....
NAKAZIA MKUU [emoji123][emoji91]Msigwa amehojiwa na Mpenja TV baada ya mechi kasema pesa inatoka kama matokeo ni ya ushindi tu sio draw ama kupoteza, I stand to be corrected!
Kasusa uzi wake[emoji23][emoji28]
Nalia Ngwena njoo utetee hoja yako hii hapa kuwa una akili nyingi zilizokuonesha kuwa simba hatachukua hata sh mia ya mama!! Tokea hapa ujitetee acha kulia ngwena!! ngwena!! ngwena!!
Ongea tena we kenge
Sina shaka kuwa ww Ni moja ya memba wenye akili ndogo/finyu mno.
Nimeendelea kujiridhisha!
Hata ukimtafuta kwa tochi huwezi kumpata!! Nalia Ngwena kajifungiua pahala akilia ngwena, ngwena, ngwena, ngwena!!!
Mtafute NALIA NGWENA msaidiane kulia ngwena ngwena!! Simba imejitambulisha dunia ni kuwa ni timu bora sana!! Imetawala na kumiliki zaidi mpira vipindi vyote viwili!! ulie tu ngwena ngwena!!
Usiishie KUKAZIA tu,nawe UKAZWE kabisa tujue moja