Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 564
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ni kwanini unajisi kambi ya Jeshi kiasi kile... Hao viongozi hawajawai tembelea ma-barracks ya wenzetu huko nje...hata hapo Rwanda wanatusginda...Barracks zina nidhamu na muonekano wake... leo hii mavikosi mengi ya jeshi yamejaa mabaa na mafrem... aibu tupuHazijakaa vizuri na pia nahisi kila mtu alijijengea Kwa utashi wake, hakuna designs
Ah kabisa,sisi wengine wakati wetu licha na kuwa na elimu ya kuungaungaKuna vitu lazima viwepo kwenye nchi ya kistaarabu, haijalishi kama kuna 'watumiaji'. Na maeneo ya Mbezi kwenda Boko, wasomi wapo, watapata tu 'wateja'.
Wangejenga hata maktaba ya kuonyesha shughuli na kumbukumbu za mambo ya jeshi.
Naona kuna frame pale ukipita kuna dada kaweka mashela ya harusi kibaoMama ameshazuia huo Upuuzi Mkuu.
Hapa inaongelewa kambi ya jeshi iliyopo njia ya kwenda Kisukuru sio zile nyumba walizokuwa wanaishi wanajeshi kule Mabibo mwisho.Mabibo jeshin hazikuwa zikimilikiwa na jeshi, ni nyumba za NHC Kama za magomeni
Wajeshi walipewa kukaa miaka hiyo baadae ziliuzwa na aliyepewa nafasi ya kununua ni mpangaji aliyekaa muda mrefu zaidi, awe mjeshi au hawara wa mjeshi.
Kule sio makao ya wajeshi tena...labda tuwe tunatofautiana eneo tunalozungumzia ila ni hii mabibo ya kuingilia via soko la ndizi toka Moro road ama luhanga toka Mandela road
Ok! NimekupataHapa inaongelewa kambi ya jeshi iliyopo njia ya kwenda Kisukuru sio zile nyumba walizokuwa wanaishi wanajeshi kule Mabibo mwisho.