GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huwezi kuwa na Timu halafu Asubuhi Spika wa Bunge anaenda na Kuwaambia Wamsikilize Yete huku akimbeza Mpinzani wake Sugu na Mbunge Mstaafu na mwenye Ushawishi Mbeya Mjini Sugu nae akienda anamkandia Mpinzani wake Spika wa Bunge na kuwataka Wamsikilize Yeye halafu hiyo Timu ikapata Mafanikio.
Binafsi kama GENTAMYCINE leo nimefurahi mno kwa Mbeya City FC kushuka Daraja kutokana na Upuuzi na Unafiki wao wa Kuikazia na Kuikamia Simba SC wakicheza nayo ila wakikutana / wakicheza na Yanga SC wanalegea na Kukubali Kufungwa nao Kiulaini kabisa.
Safi sana na Hongereni Mashujaa FC.