GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mashujaa ni timu yangu pendwa tangu ikiwa inacheza ndondo mitaani.
Tutajitahidi tunahakikisha pale Lake Tanganyika tunavuna points za kutosha, ila huko kwingine lolote litukute.
RC Kafanya kazi kubwa, anasitahili pongezi.General mkunda ataweka pesa pale maana ni vijana wake wale, halafu mkuu wenu wa mkoa anahamasa sana na mkoa wake kajitoa sana
RC Kafanya kazi kubwa, anasitahili pongezi.
Ile mechi ya kwanza dhidi ya Mbeya city ilikuwa na hamasa kubwa sana toka kwake na viongozi wengine wa mkoa na JWT
Hao ndugu zangu wa Mbeya, waliyataka wenyewe! Ile mechi yao na Yanga, ndiyo iliyokuwa inawabakiza ligi kuu. Ni kichekesho mchezo muhimu kama ule, unaongoza 3:0 mpaka kipindi cha pili, mwishoni inakuwa 3:3.Huwezi kuwa na Timu halafu Asubuhi Spika wa Bunge anaenda na Kuwaambia Wamsikilize Yete huku akimbeza Mpinzani wake Sugu na Mbunge Mstaafu na mwenye...
Hao ndugu zangu wa Mbeya, waliyataka wenyewe! Ile mechi yao na Yanga, ndiyo iliyokuwa inawabakiza ligi kuu. Ni kichekesho mchezo muhimu kama ule, unaongoza 3:0 mpaka kipindi cha pili, mwishoni inakuwa 3:3.
Naunga mkono hojaHuwezi kuwa na Timu halafu Asubuhi Spika wa Bunge anaenda na Kuwaambia Wamsikilize Yete huku akimbeza Mpinzani wake Sugu na Mbunge Mstaafu na mwenye Ushawishi Mbeya Mjini Sugu nae akienda anamkandia Mpinzani wake Spika wa Bunge na kuwataka Wamsikilize Yeye halafu hiyo Timu ikapata Mafanikio.
Binafsi kama GENTAMYCINE leo nimefurahi mno kwa Mbeya City FC kushuka Daraja kutokana na Upuuzi na Unafiki wao wa Kuikazia na Kuikamia Simba SC wakicheza nayo ila wakikutana / wakicheza na Yanga SC wanalegea na Kukubali Kufungwa nao Kiulaini kabisa.
Safi sana na Hongereni Mashujaa FC.
ungeingia na wewe ucheze,wakugongeemoHao ndugu zangu wa Mbeya, waliyataka wenyewe! Ile mechi yao na Yanga, ndiyo iliyokuwa inawabakiza ligi kuu. Ni kichekesho mchezo muhimu kama ule, unaongoza 3:0 mpaka kipindi cha pili, mwishoni inakuwa 3:3.
Daaaaah! Kisa nimeitaja Yanga?ungeingia na wewe ucheze,wakugongeemo
Mkiweza kuepuka fitina za Yanga na Simba ,na fitina za kisiasa ,mtafanikiwaMashujaa ni timu yangu pendwa tangu ikiwa inacheza ndondo mitaani.
Tutajitahidi tunahakikisha pale Lake Tanganyika tunavuna points za kutosha, ila huko kwingine lolote litukute.
Waendeleze hiyo hamasa ,wasibweteke wala kuruhusu ,usimba na uyanga,wala siasaGeneral mkunda ataweka pesa pale maana ni vijana wake wale, halafu mkuu wenu wa mkoa anahamasa sana na mkoa wake kajitoa sana