Jf, members!
Salaam!
Nauliza iwapo watu wenye uelewa wa hali ya juu kama wale wa CCM iwapo wanaweza shangilia au kuwa wafuasi wa CDM, ACT, NCCR, au CUF. Nauliza hivi sbb hizi:-
(a). CDM - mwenyekiti wao kawa Mungu watu, tangia aingie madarakani ni miaka lukuki na wafuasi wako kimya kbs! Achilia mbali uelewa wao kuhusu wanawake wa vikoba, na bodaboda;
(a). ACT - chama chenye kiongozi wa chama asipenda kukosolewa na hakuna kifungu ktk katiba yao kinachoweza mwajibisha kiongozi;
(c). CUF an NCCR nikama ilivyoelezwa kwa CDM.
Sasa hivi kwa muktadha huu vyama vya upinzani vimeingia na kusajili ili viisaidie CCM au ili vipate kuongoza nchi!
Wafuasi zindukeni, ninyi ni binadamu si nyumbu.
Msakila Kabende
Kakonko
Mabuti ya kijeshi uyaone mafupi mepesi/
Yani kama vile simple toka nduki toka lesi/
Ka risasi ya bunduki au jeti/
No kunyuti no kuketi, wape nafasi wakushoot/
Kama Malcolm X usikubali kubaki/
Uwe pimbi upewe kesi/
Ikibidi jitose ndani ya dimbwi la kinyesi/
Sio suala la uoga,kuogopa ukunguru/
Ila Bora kurogwa kuliko kukosa uhuru/
Wapi Shemponda wapi Jenerali Komba/
Siri Kali Sera Kali cheza mbali na wajomba/
Kimbiaa, mitihani imevuja nyie hamjasikia!?/
Yanini kusoma huku elimu inanunuliwa/
Kimbiaa, Nchi imeshauzwa hii hamna kusikilizia/
TANESCO, Madini Hadi Air Tanzania/
Watoto wa uswazi hawana matumaini/
Ndoto zao ujambazi sababu ya umaskini/
Matapeli wenye shahada kila hatua tatu/
Makahaba wa miaka kumi na tatu/
Maskani kamsitu, vicheche na machatu/
Usipite pekupeku bila kuvaa viatu/
Aaaah Kimbiaaaaaaaa
Rest Easy LANGA (RIP)