Wenye akili wanaweza kuwa wafuasi wa - CDM, ACT, NCCR au CUF?

Wewe ni genius sana. Nimezungumzia uongozi wa kudumu CDM, ACT, NCCR, CUF - how come vyama vinavyotegemewa kuchukuwa dola viwe na hulka mbaya hivi!!!

Uongozi gani wa kudumu?. Kwa hivyo CHADEMA kumchagua Mbowe miaka ishirini ni kosa?. Ila CCM kukaa madarakani miaka 60 ni sahihi. Punguza unafiki.
 
Independent wapi kila siku kushambulia CHADEMA. Wewe ni CCM .
Si ulikuwa huko CHADEMA?
Ni kweli nilikuwa huko chadema, enzi zile chama kinafunction kama chama cha demokrasia na maendeleo. Niliondoka baada ya ule usaliti wa 2015, wakati chadema ilipojigeuza kuwa genge la wasaka tonge kama wale wengine.
Kudhani kuwa kila anayeikosoa chadema ni ccm, ni kufikiria inbox. Fumbua macho mkuu, uanze kufikiria nje ya box.
 
Usikute wewe ni mzee wa busara kijijini kwako.
Mzee mzima unaandika ma-stup.id tu.
 
"Uelewa wa hali ya juu kama wale wa CCM", nimeishia hapa kusoma.

Pole kwa kulishwa uongo au kujilisha uongo.
Nakuonea huruma na familia yako pia.
 
Hizi sampuli za wanachama wa CCM

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kila chama kina utaratibu wake. Mbona CCM Mwenyekiti hapingwi. Suala la Mbowe litafikia mwisho akistaafu mwaka huu.
Good. Haya ndiyo majibu nayataka. Tukiyumbishwa na vihoja halafu tukakubali kuyumba hawa wachokozi watashindwa kuelewa tofauti ya ccm na chadema
 
ccm imejaa wapumbavu ndio maana report ya CAG ya ufisadi wenu imewashinda kuijadir mmebaki mnahaha kwa nyuz za kuokoteza.
 
Chadema ni manyumbu tu kama nyumbu wengine waliozoeleka.
Na hili halina ubishi,kama kuna nyumbu anataka kupinga aje na hoja kwanini yeye siyo nyumbu
 
Mtu yeyote anayejielewa hawezi kuwa mfuasi wa chama cha siasa. Labda tu awe anapata chochote kitu kupitia ufuasi huo, uongozi, posho nk. Zaidi ya hapo ni ufala.
 
Mabuti ya kijeshi uyaone mafupi mepesi/
Yani kama vile simple toka nduki toka lesi/
Ka risasi ya bunduki au jeti/
No kunyuti no kuketi, wape nafasi wakushoot/
Kama Malcolm X usikubali kubaki/
Uwe pimbi upewe kesi/
Ikibidi jitose ndani ya dimbwi la kinyesi/
Sio suala la uoga,kuogopa ukunguru/
Ila Bora kurogwa kuliko kukosa uhuru/
Wapi Shemponda wapi Jenerali Komba/
Siri Kali Sera Kali cheza mbali na wajomba/
Kimbiaa, mitihani imevuja nyie hamjasikia!?/
Yanini kusoma huku elimu inanunuliwa/
Kimbiaa, Nchi imeshauzwa hii hamna kusikilizia/
TANESCO, Madini Hadi Air Tanzania/
Watoto wa uswazi hawana matumaini/
Ndoto zao ujambazi sababu ya umaskini/
Matapeli wenye shahada kila hatua tatu/
Makahaba wa miaka kumi na tatu/
Maskani kamsitu, vicheche na machatu/
Usipite pekupeku bila kuvaa viatu/
Aaaah Kimbiaaaaaaaa

Rest Easy LANGA (RIP)
 
Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa Chadema, na hili jambo haliwahusu nyie ccm, wala halina athari kwa maisha ya watanzania.
Tupeni majibu ya ripoti za CGA.
 
(a) CDM (a) ACT , (c) CUF an NCCR, ktk , sbb kwa uandishi huo napata mashaka na hao waliobaki ndani ya boksi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…