Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Maisha yana njia tofauti kutufunza kuwa wapole na subira hasa pale tunapojiona tumefanikiwa. Watu wanashinda kujisifu robo fainali 5 hana cha kujifunza kwa mwenye robo fainali moja.
Haya mwenye makombe yake matano cha CAF CL amekuja kujifunza namna ya kuendesha timu ya mpira kwa ambaye hana hata ilo kombe.
Haina maana haya ni mafanikio ila tushirikishe bongo viongozi wetu wanapotaka kutuaminisha kuwa runners up ni mafanikio ya kukufanya utambe kila kona. Robo fainali sio mafanikio.
SOMA
- TP Mazembe waomba kufundishwa football management na Yanga