Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Sisi makolo tutawafuata huko huko tuwafundishe 😂
Yakikataa basi
Yakikataa basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AC Milan na Inter Milan viwanja vyao vipo wapi?Mszembe ana hadi uwanja wake sijui amekuja kujifunza nini?
Mipango yenu makolo ni kama mipango ya KingwenduWatani vipi. Yani leo kwa sababu wamekija mazembe tayari mdomo uko juu sio.
Kwani kuna kipya kipi ? Hayo wanayoyafanya Yanga ni Copy & Paste ya Simba. Wakati Dewji anachanja mbuga kutafuta washirika na vilabu kwa ajili ya Programu za ushirikiano hata GSM alikuwa hajaiingiza ufadhili Yanga.
Wakati Simba kupitia viongozo wake wanaweka mikataba na Mabenki na kuanzisha usajili wa Wanachama ilikuwa hamuoni? Hio Mikataba na ATCL si Yanga wameingia mwaka jana tu kwenye Shirikisho na Mwaka huu Club Bingwa? Yaani wamecopy kwa Simba then wanataka hao Simba waende kujifunza kwao? Punguzeni sifa.
MpaKA gsm Hersi anafunguka Macho kujipenyeza CAF na FIFA , Mo alishatangulia kitambo. Hatujasahau tukio la Hersi kujipendekeza kwa Infantino kweenye Super League.
Eti leo Yanga wanapata ujasiri wa kujiona yeye ndio mwenye mafanikio zaidi. Si ndio kawaqida ya mpira huo?
Kwa kawaida jamii ndio itahukumu nani kafanikiwa kuliko mwengine baada ya muda fulani kupita.
Yanga punguzeni misifa.
Twende polepole nadhani wewe hujaelewa mada. Rudia kusoma au labda nikuandikie kwa ufupi tu. Hii mada hauhusiani na kujitweza ila inahusiana na habari Simba kumdharau Yanga kwa kigezo cha robo fainali 5 mkiona hayo ndio mafanikio pekee.Watani vipi. Yani leo kwa sababu wamekija mazembe tayari mdomo uko juu sio.